Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii mwanza si ndio ile tukaiumbua siku zile, bado sijasema au nitaleta ile aerial view sasa hivi jichoboy
Hii ata kisii iko na skyline nzuri kuiliko

images - 2021-06-06T071852.176.jpeg

images - 2021-06-06T071929.028.jpeg
 
Wakenya wanajifanya wanajua lugha ya Malkia kumbe uozo mtupu [emoji115]
Si eti tunajifanya, hyo ndio lugha inayotumika kutoa elimu sasa wewe km una lako sema..alafu uache wivu wa kike, mbona hko kwenu part two katika elimu yenu mnafundishwa kw kingereza, kutoshika kwenu basi imekua lawama kwetu..jilaumuni nyie na akili zenu, yani eti kidato cha kwanza mpka chuo kingereza lkn bado mtu anatoka mweupee hata kujisaidia hajui[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kama ndio lugha inayotumika kufundishia huko kwenu na hujaona makosa kwenye hilo gazeti hapo basi elimu yenu ni nzuri sana [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom