Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ekeni tu traffic lights, sisi ni floors tunapandisha! 😎🤣🤣🤣
Munapandisha floors sehemu hazina mahitaj alaf mkuambiwa debt to GDP ratio iko 86% munaanza kulia🤣🤣🤣 alaf mbaya zaidi mchina ndio mjenzi wa hzo matofali overpass na flyover anawagaragaza kwenye bei na quality mbovu
 
E8E412B2-08E9-48B5-9A76-03E40B944BC1.jpeg
 
Hiyo mali unayoongelea iko wapi hapo? Ama wataka niwe Dangote? Acha uboya wewe, hivi mtu mwenye akili anaweza panda mwewe akiwa amevalia ka hivyo, huoni niko kazini, wacha utopolo, mwenzako Geza ashakueleza hapo juu. Acha perepere nyingi, ka umeenda shule ungekuwa unajua hiyo ni demo tu, changamka mtoto wa kiume!
So intention yako ilikuwa nn.
 
Hawa wakulungwa noma sana, wanfly First class, wanadrive Bugatti, wana mahela kama yote( Mapesa) sasa ku urgue na watu kama hawa ni shidaaaaa . Yule mkulungwa wa First Class inaonekana alitembelea sijui flight training center la kq ye kaona kafly first class. Au ni afisa usalama wa OSHA , maana kafunika na logo ya Tshirt itakua ina ujumbe hapo. Ila wakulungwa kama hiyo ni first class na ndege inaruka hiyo, first class hawekewi hata glass ya champagne, inflight magazine etc , angalia hiyo seat juu ya kichwa ilivyochafu na ianvyitoa manyoya.
 
Munapandisha floors sehemu hazina mahitaj alaf mkuambiwa debt to GDP ratio iko 86% munaanza kulia🤣🤣🤣 alaf mbaya zaidi mchina ndio mjenzi wa hzo matofali overpass na flyover anawagaragaza kwenye bei na quality mbovu
Huna business mind wewe, mtu apandishe floors bila kuwa na uhakika kwamba atapata faida ikiwa sehemu hiyo? 😂 😂 😂 Wangekuwa na fikra ka zako wasingelijenga kamwe!
 
Huna business mind wewe, mtu apandishe floors bila kuwa na uhakika kwamba atapata faida ikiwa sehemu hiyo? 😂 😂 😂 Wangekuwa na fikra ka zako wasingelijenga kamwe!
Kwani SGR hamkulijua mwanzo 🤣👇👇
16968C16-314B-4EBC-B460-FECFF41E6DCC.jpeg
 
Back
Top Bottom