Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sio ukabila Kwani Ni Uongo Jameni,Na ujue usiwaone wanaishi Kibera eti unathani hawana Nyumba zao amabazo wamejenga,Kisumu Ndio wamejenga na Nairobi wamekomboa ili wafanye Biashara
Ondoa usenge wako hapa, nani ajenge nyumba kwengine alafu akaishi kibera, hawa citizens wa kibera jinc walipigika watajenga kwa pesa gani? Mtu awe na nyumba yake alafu asiishi eti kisa biashara hiyo biashara yenyewe ni gani? Mkazi wa kibera awe na nyumba alafu aishi kibera mavi nani atakubali usenge huo?
 
Linajulikana kuwa nyumba za kurithi wabongo wengi ndio style yao, huku KE kijana ukioa unaenda kutafuta lako na familia yako, hata ikiwa bahati mbaya kutokee kitu nyumbani, hapo ndio mtaamua kama mandugu muuze hiyo nyumba ama mkodishe, sababu kila mmoja ana issue zake sehemu tofauti tofauti nchini! Nyie huwa mnasubiri chenyu, hebu tokeni mkajichanganye mjini huko, acheni ulaza!! 🤣 🤣 🤣
Uhehehhe bongo kiwanja unapata 100,000ksh mtu hawazi kununua plot wala kujenga nyumba huku ni vitu vya kawaida sana, sasa kwenu imagine kenyatta alone anamiliki ardhi ya wakenya million 20
 
Unataka tuishi kwenye madari ya nyumba ama, huyo anaye rent hata mshahara wengi sana, wewe hapo huwafiki hata kidogo, na bado wana rent. Rent kuanzia 25k mjini alafu ashindane na wewe, hivi hujiulizi, ka rent ni hiyo mshahara je, anapata ngapi??? boya kweli!!! 🤣 🤣 🤣 🤣
Muishi kwa kurent ila akili ya ardhi na nyumba achia politicians hata ww unajua🤣🤣
 
Hapo kwa joho, Chai chai chai, tena ya motoo!!! Walikuwa na hela hata kabla ya joho kuwa Governor wa Msa! 🤣 🤣 🤣 Unadanganya bongolalaz wenzio!? 🤣
Hujui chochote kuhusu joho ww hata asili yake huijui uliza ufunzwe 🤣🤣🤣🤣 na yule kaka yake abubakar joho muuza madawa ya kulevya
 
Hasara mbona kawaida kwenyu??? 😂 😂 😂
View attachment 1808847
🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇
BA05CAE6-1FB2-468E-9104-8D490A8B5EEE.jpeg
9B087947-B749-40AE-89D5-A9390F9AAD74.jpeg
 
🍼 Nilikwambia usithani KE Ni TZ(Aka Bongo lala land) unathani eti mtu akikomboa Nyumba inamaanisha Hana Nyumba yake Ambayo amejenga,😆Watu wengi ambao wako Nairobi Wana Nyumba zao sehemu zingine,wamekomboa Nyumba Nairobi ili wafanye Biashara🙆🤐
Achana na huyo. Most of the time I decide not to respond to his gibberish. Huoni aliniquote nikaamua tu kunyamaza!
 
Back
Top Bottom