Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Matajiri kwenu hawana nyumba za ndoto zao 🤣🤣🤣🤣
C0C88B6F-B263-426A-AB28-9FB9B25BCE5C.jpeg
 
Dodoma ipo kama california (california ni almost arid) ila advantage ya Dodoma miti inapandwa kwa wingi mno na less density areas ni nyingi, real estates agents wote wanapewa criteria za kuuza viwanja na Council, viwanja vingi minimum area ni 700sqm na maeneo ya less dense minimum area ni 1500sqm

Naona wana room nzuri ya kuupangilia mji wao vizuri tofauti na wengine

California

View attachment 1808399View attachment 1808400View attachment 1808401View attachment 1808402
Mm nakwambia wakenya ni vilaza wa akili wao wanahisi ukiweza rent bedsitter basi maisha umepatia 🤣🤣🤣 wamebakia kusifu estates za wenyewe na wanajulikana

alaf anakwambia yeye ananyumba ya urithi ushagoo alaf huyohuyo awe na ndoto ya kumiliki ardhi nairobi labda dunia ibadili njia
 
Nicxie sheria za ardhi england na kenya ziko sawasawa??🤣🤣🤣 hvi unajua england majority own houses au unafkiri ni kama kenya wanaomiliki ardhi n nyumba ni wakuhesabika na ni wale wale 😅😅😅

estate moja yenye nyumba 20 kenya unaeza kuta wote wamerent na mmliki ni mmoja tu na huyo huyo mmliki biashara yake anategenea nyumba tu
 
🍼 Nilikwambia usithani KE Ni TZ(Aka Bongo lala land) unathani eti mtu akikomboa Nyumba inamaanisha Hana Nyumba yake Ambayo amejenga,😆Watu wengi ambao wako Nairobi Wana Nyumba zao sehemu zingine,wamekomboa Nyumba Nairobi ili wafanye Biashara🙆🤐
 
Jibu swali alaf anza kulia sasa 🤣🤣🤣
Wana nyumba watoe wapi?? Ikiwa 2.5m people wako kibera na zile slums zingine wanaishi sokwe ama??🤣🤣🤣🤣

Ardhi kenya inashikiliwa na watu wachache sana na hili linajulikana dunia nzima hata kama utaficha aibu mm nikupe pole
 
Back
Top Bottom