Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani ninyi mna SGr???..
Sie twashindana na Ethiopia..
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Wivu, hivi nchi za ughaibuni wakijiendeleza ulidhani wangekuwa na fikra ka zako, wangelifanya kitu eti ku avoid kushindana kimaendeleo??? 😂 😂 😂
Mushindane kwa akili sio kuingiza nchi kwenye mikopo ya hasara alaf museme munashindana 🤣🤣🤣 leo debt to GDp ratio iko 84% inapumulia sikio alaf munashindana na nchi haijaanza kutumia raskimali vzr
 
Cheki Tanzania 3rd city inavyoitoa kamasi Nairobi hawajaachana isipokuwa kwenye nguo which says alot about the state of individual poverty

View attachment 1808764
Kawaida ya maisha cheap, utazipata kwa nchi ambazo bado hazijachangamka, hata Somalia maisha ni cheap ujue? 😂 😂 😂 Sasa hapo New York, dadeq alafu upate maisha ni cheap?? 😂
 
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Au tunasema uongo 🤣🤣🤣👇👇👇
63E59376-9D6A-4E74-99E8-7A94444D9A4D.jpeg
 
Kawaida ya maisha cheap, utazipata kwa nchi ambazo bado hazijachangamka, hata Somalia maisha ni cheap ujue? 😂 😂 😂 Sasa hapo New York, dadeq alafu upate maisha ni cheap?? 😂
Sasa maisha hard alaf watu hawana uwezo wa kula ndio maendeleo ??🤣🤣🤣
 
Ndio yale yale aliongea mwenzio akili za nyumba ya utithi ushagoo🤣🤣🤣 tatizo lenu munataka kutudanganya sisi wakat tunaeajua in out, mtu anafananisha england na kenya wakat england hakuna slums na watu hawazungumzii housing and water
Linajulikana kuwa nyumba za kurithi wabongo wengi ndio style yao, huku KE kijana ukioa unaenda kutafuta lako na familia yako, hata ikiwa bahati mbaya kutokee kitu nyumbani, hapo ndio mtaamua kama mandugu muuze hiyo nyumba ama mkodishe, sababu kila mmoja ana issue zake sehemu tofauti tofauti nchini! Nyie huwa mnasubiri chenyu, hebu tokeni mkajichanganye mjini huko, acheni ulaza!! 🤣 🤣 🤣
 
Na kule watu wana dream house zao wao akili iliobakia kichwani ukiweza rent bedsitter basi ni middle class 🤣🤣 wakat hzo estates owners ni wale wale kama sio investors basi politicians

ww imagine joho familia yake walikua ni maskini kabisaa kawa governer for just 7yrs sasa hvi ni billionare mombasa yeye na familia yake wanamiliki ardhi kila kona ya mombasa 🤣🤣
Unataka tuishi kwenye madari ya nyumba ama, huyo anaye rent hata mshahara wengi sana, wewe hapo huwafiki hata kidogo, na bado wana rent. Rent kuanzia 25k mjini alafu ashindane na wewe, hivi hujiulizi, ka rent ni hiyo mshahara je, anapata ngapi??? boya kweli!!! 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Wacha nkuambie hivi[emoji38] Mtu anaeza Toka Kisumu kwa Nyumba yake,alafu aende akomboe Nyumba Nairobi kwasababu ya Kazi.Hao unawaona Kibera wengi Ni Luos na Kwao Kisumu wamejenga Bungalows zao,Usithani KE Ni Kama TZ
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] stupid reason...

haimake sens

yaani mtu uwe na bungalows halafu ukae matopeni huo si uchizi,hata chizi mwenyewe hawezi..
 
Na kule watu wana dream house zao wao akili iliobakia kichwani ukiweza rent bedsitter basi ni middle class 🤣🤣 wakat hzo estates owners ni wale wale kama sio investors basi politicians

ww imagine joho familia yake walikua ni maskini kabisaa kawa governer for just 7yrs sasa hvi ni billionare mombasa yeye na familia yake wanamiliki ardhi kila kona ya mombasa 🤣🤣
Hapo kwa joho, Chai chai chai, tena ya motoo!!! Walikuwa na hela hata kabla ya joho kuwa Governor wa Msa! 🤣 🤣 🤣 Unadanganya bongolalaz wenzio!? 🤣
 
Kawaida ya maisha cheap, utazipata kwa nchi ambazo bado hazijachangamka, hata Somalia maisha ni cheap ujue? [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sasa hapo New York, dadeq alafu upate maisha ni cheap?? [emoji23]
Maana yake Tanzanian residents in Arusha can easily afford basic needs than their Nairobian counterparts and this tells alot about Slum development in Nairobi
 
Tunasema bila ushabiki nyinyi mungepost mpaka trump angejua 🤣🤣🤣🤣
Wangapi wamekuja basi, hivi nyie huwa mna nini? Haya tutaanza kuzipost hata sisi, manake ubishi huu, duh, wa kizembe zembe hivi! 😬😬😬
 
Back
Top Bottom