Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🍼 Nilikwambia usithani KE Ni TZ(Aka Bongo lala land) unathani eti mtu akikomboa Nyumba inamaanisha Hana Nyumba yake Ambayo amejenga,😆Watu wengi ambao wako Nairobi Wana Nyumba zao sehemu zingine,wamekomboa Nyumba Nairobi ili wafanye Biashara🙆🤐
Huyo ni kilaza siku zote 😂 😂 😂, wanadhani Kenya ni Tanzania, he is looking at Kenya through Tanzanian lenses., thus a skewed reasoning due to erroneous perspective.
 
Jibu swali alaf anza kulia sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wana nyumba watoe wapi?? Ikiwa 2.5m people wako kibera na zile slums zingine wanaishi sokwe ama??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ardhi kenya inashikiliwa na watu wachache sana na hili linajulikana dunia nzima hata kama utaficha aibu mm nikupe pole
Huu tunaita wivu wa kike usiokua na tija
 
Is Nakuru having any 5 star hotel or modern conference center or modern office space including international agency office space or modern travelling agencies aside serious industries? Mind u In Brewer, Pepsi SBC aside Tanelec n textiles (a to z, sunflag) not to forget most advanced lapidary industry in EA! N so many others!

Muache upumbavu find me a modern office like EAC Headquarters or AICC or NSSF offices first!

We mzee kweli uko na shida aisee, we tueleze kwanza outcome ya uchumi arusha tuje tulinganishe na nakuru acha kujizungusha hapa..
 
Sio ukabila[emoji134] Kwani Ni Uongo Jameni,Na ujue usiwaone wanaishi Kibera eti unathani hawana Nyumba zao amabazo wamejenga,Kisumu Ndio wamejenga na Nairobi wamekomboa ili wafanye Biashara[emoji857]
Kuna mtu leo wa msa lazima nimsopoe jf ila sitataja jina lake[emoji1787][emoji1787]
Nairobi anauza nguo kali kali sana maeneo ya gikomba lkn bado nashangaa kakomboa nyumba ya ubati aisee[emoji1787][emoji1787] kwao ukunda kajenga lkn sijawai enda hko kwake lkn kila siku anasema kilichonipeleka nairobi ni biashara wala sio kingine.."starehe nikitaka nitalia msa"


Yani ukimuona anafuatilia mizigo yake port hutoamini km akienda nairobi mzigo inaishia store na yeye huishia kwenye ubati[emoji1787][emoji1787]haya maisha bana
 
Kwani mwakani mbali? Mtachinjana mpk Ikulu, Mwenyezi awaepushie ila kazi mnayo.
Mbona tuchinjane?
JamiiForums-301698491.jpg
 
We mzee kweli uko na shida aisee, we tueleze kwanza outcome ya uchumi arusha tuje tulinganishe na nakuru acha kujizungusha hapa..
Nimewaambia ili tuendelee na huu mjadala walete picha za public facilities ambazo zina portray picha halisi ya mji wowote duniani. Wekeni picha za Nakuru Airport, Nakuru Bus Station, Nakuru market, Nakuru sports complex au Stadium, Nakuru Hospital hivi ni vitu muhimu kabla ya kuanza mjadala kuhusu kulinganisha Nakuru na miji ya TZ.
 
Back
Top Bottom