Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,945
Talking about loans and taxpayers money... 😂 😂 😂Washindane wapi huku wamefeli 🤣🤣 wamekali kupoteza pesa za taxpayers na kuingia kwenye mikopo ya hasara kisa washindane na tanzania 😆😆😆😆
Talking about loans and taxpayers money... 😂 😂 😂Washindane wapi huku wamefeli 🤣🤣 wamekali kupoteza pesa za taxpayers na kuingia kwenye mikopo ya hasara kisa washindane na tanzania 😆😆😆😆
Hasara mbona kawaida kwenyu??? 😂 😂 😂Mushindane kwa akili sio kuingiza nchi kwenye mikopo ya hasara alaf museme munashindana 🤣🤣🤣 leo debt to GDp ratio iko 84% inapumulia sikio alaf munashindana na nchi haijaanza kutumia raskimali vzr
Ya mizigo hiyo 👆... Ya passengers hapo chini 👇 👇 👇 🔥🔥🔥Au tunasema uongo 🤣🤣🤣👇👇👇
View attachment 1808798
Hate speech heheKwani mwakani mbali? Mtachinjana mpk Ikulu, Mwenyezi awaepushie ila kazi mnayo.
Unaelewa kweli meaning of the words cost of living?Cheki Tanzania 3rd city inavyoitoa kamasi Nairobi hawajaachana isipokuwa kwenye nguo which says alot about the state of individual poverty
View attachment 1808764![]()
Full Cost of Living comparison Arusha vs Nairobi.
Cost of living in Arusha (Tanzania) is 14% cheaper than in Nairobi (Kenya)www.expatistan.com
Hahahahaha kizungu kidogo hujaelewa that's not the meaning ya cost o livingMaana yake Tanzanian residents in Arusha can easily afford basic needs than their Nairobian counterparts and this tells alot about Slum development in Nairobi
Wapuuzi sana hawa majamaa, wao wanafikiria wote wanaoishi nairobi eti kule wameenda kuishiHawataelewa wale wenye kupatiwa mashamba na serikali wajenge, tena hapo afanye mchango home ili hela zifike anga za room mbili! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Umekapa editing za uhakika mkuu! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Heti hapa ni mji gani wenzangu kuna mtu kaniambia hapa ni New York je wewe unasemaje? View attachment 1808925
Kama sio cost of living ni nini sasa embu elezea wewe uliye karirishwa lugha ya MalkiaHahahahaha kizungu kidogo hujaelewa that's not the meaning ya cost o living
Same 3 buildings since 3years ago hakuna new better buildings zimejengwa?Heti hapa ni mji gani wenzangu kuna mtu kaniambia hapa ni New York je wewe unasemaje? View attachment 1808925
Editing wapi wewe hapo nilipiga natokea Kigamboni na ferryUmekapa editing za uhakika mkuu! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
In your understanding a high cost of living, is it a good thing or a bad thing?Kama sio cost of living ni nini sasa embu elezea wewe uliye karirishwa lugha ya Malkia
Jamani mnaona New york hio😁😁😁Heti hapa ni mji gani wenzangu kuna mtu kaniambia hapa ni New York je wewe unasemaje? View attachment 1808925
Sio mtoto mimi ujue! 😬Editing wapi wewe hapo nilipiga natokea Kigamboni na ferry
Buildings nyingi zimejengwa on the other side of CBD plus magufuli alipoozesha ujenzi wa majengo kwa kupiga stop NHC pensions na government agencies kujenga majengo ila sasa real estate imeanza kuamka tena ni mchakamchaka tuuSame 3 buildings since 3years ago hakuna new better buildings zimejengwa?
Wewe mzito kuelewa nini kenya cost of living iko juu which is bad for investment na watu cant afford good shelter ndio maana wengi wako kiberaIn your understanding a high cost of living, is it a good thing or a bad thing?
Brt ipo simple sana huwezi linganisha na Brt ya bongoBRT infrastructure coming up along Thika roadView attachment 1807941
Nairobi ni city Inaeleweka lakini mbona arusha inakaribia cost of living ya nairobi? Hilo ndo swali?Wewe mzito kuelewa nini kenya cost of living iko juu which is bad for investment na watu cant afford good shelter ndio maana wengi wako kibera
ConviniencyBrt u
Brt ipo simple sana huwezi linganisha na Brt ya bongo