Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimewaambia ili tuendelee na huu mjadala walete picha za public facilities ambazo zina portray picha halisi ya mji wowote duniani. Wekeni picha za Nakuru Airport, Nakuru Bus Station, Nakuru market, Nakuru sports complex au Stadium, Nakuru Hospital hivi ni vitu muhimu kabla ya kuanza mjadala kuhusu kulinganisha Nakuru na miji ya TZ.
Hahaha!!mbona hutaki kuleta outcome ya uchumi arusha tuone
 
Kariakoo ni kila mtu from all over Tz hatuna classes wala segregation kwetu
Kwn kusema wapemba ndio wengi kariakoo kw akili yako unaona tumetaja classes[emoji1787][emoji1787]
We mzee tena akili zako zipo sawa au na wewe umekuja kuwehuka km kawaida yenu
 
Kwa sifa zenu za kijinga mtakuja kusababisha divorce kwenye ndoa za watu,hata kipindi magu anafariki akazuka mama wa kikenya anadai ana mtoto wa magu,nyie jamaa wajinga sana
Wacha utopolo hapa, alijitokeza wapi? Ulimwona kwa news akidai hivyo?... Huyo mama mwenyewe ni Civil servant, ana maisha yake hata hajui mambo ya Magu, hizo story ni wapuuzi tu walimbandika! Kuwa na facts kabla hujapanua mdomo kuongea!
 
Hahaha!!mbona hutaki kuleta outcome ya uchumi arusha tuone
Cheki Tanzania 3rd city inavyoitoa kamasi Nairobi hawajaachana isipokuwa kwenye nguo which says alot about the state of individual poverty

Screenshot_20210605-102905_Opera.jpg
 
Mm nakwambia wakenya ni vilaza wa akili wao wanahisi ukiweza rent bedsitter basi maisha umepatia 🤣🤣🤣 wamebakia kusifu estates za wenyewe na wanajulikana

alaf anakwambia yeye ananyumba ya urithi ushagoo alaf huyohuyo awe na ndoto ya kumiliki ardhi nairobi labda dunia ibadili njia
Kumbe mnaishi nyumba za kurithi? Fanya kazi ujenge kwako wewe boya, unagojea za babaako? 😂 😂 😂
 
🍼 Nilikwambia usithani KE Ni TZ(Aka Bongo lala land) unathani eti mtu akikomboa Nyumba inamaanisha Hana Nyumba yake Ambayo amejenga,😆Watu wengi ambao wako Nairobi Wana Nyumba zao sehemu zingine,wamekomboa Nyumba Nairobi ili wafanye Biashara🙆🤐
Unabishana na mtu anaishi shamba la babaake? 😂 😂 😂
 
Jibu swali alaf anza kulia sasa 🤣🤣🤣
Wana nyumba watoe wapi?? Ikiwa 2.5m people wako kibera na zile slums zingine wanaishi sokwe ama??🤣🤣🤣🤣

Ardhi kenya inashikiliwa na watu wachache sana na hili linajulikana dunia nzima hata kama utaficha aibu mm nikupe pole
Endeleeni kuota!!! 😂
 
Wacha nkuambie hivi😆 Mtu anaeza Toka Kisumu kwa Nyumba yake,alafu aende akomboe Nyumba Nairobi kwasababu ya Kazi.Hao unawaona Kibera wengi Ni Luos na Kwao Kisumu wamejenga Bungalows zao,Usithani KE Ni Kama TZ
Ndio yale yale aliongea mwenzio akili za nyumba ya utithi ushagoo🤣🤣🤣 tatizo lenu munataka kutudanganya sisi wakat tunaeajua in out, mtu anafananisha england na kenya wakat england hakuna slums na watu hawazungumzii housing and water
 
Kuna mtu leo wa msa lazima nimsopoe jf ila sitataja jina lake[emoji1787][emoji1787]
Nairobi anauza nguo kali kali sana maeneo ya gikomba lkn bado nashangaa kakomboa nyumba ya ubati aisee[emoji1787][emoji1787] kwao ukunda kajenga lkn sijawai enda hko kwake lkn kila siku anasema kilichonipeleka nairobi ni biashara wala sio kingine.."starehe nikitaka nitalia msa"


Yani ukimuona anafuatilia mizigo yake port hutoamini km akienda nairobi mzigo inaishia store na yeye huishia kwenye ubati[emoji1787][emoji1787]haya maisha bana
Hawataelewa wale wenye kupatiwa mashamba na serikali wajenge, tena hapo afanye mchango home ili hela zifike anga za room mbili! 🤣 🤣 🤣
 
Kwa mtazamo wao kuhusu plan ya Dar basi hata california ni slum, sababu na yenyewe ina mpangilio kama Dar 😅😅😅😅

Tena Dar tumeizidi california sababu eneo lenye hii plan ni dogo sana

View attachment 1808577
Na kule watu wana dream house zao wao akili iliobakia kichwani ukiweza rent bedsitter basi ni middle class 🤣🤣 wakat hzo estates owners ni wale wale kama sio investors basi politicians

ww imagine joho familia yake walikua ni maskini kabisaa kawa governer for just 7yrs sasa hvi ni billionare mombasa yeye na familia yake wanamiliki ardhi kila kona ya mombasa 🤣🤣
 
Huyo ni kilaza siku zote 😂 😂 😂, wanadhani Kenya ni Tanzania, he is looking at Kenya through Tanzanian lenses., thus a skewed reasoning due to erroneous perspective.
Umekuja msaidia mwenzio 🤣🤣🤣 muokoe sasa
 
Back
Top Bottom