Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hamna lolote nyinyi, Mrusi na Mchina anawazingua tu! Accidents zipo na zitaendelea kuwepo. Kazi yeyote ile iko na risks zake. Hii kazi sasa ndio ya kiume sio kukaa vijiweni na kubweka bweka!
siyo kubweka mmetia haibu ,,,lazima uwe na olternative way unajirusha kizembe kama kambale unategemea nini ,,ukitumia parachutes kama soljaz lazima uwe na bag ambalo linakuwa na baloon endapo parachute ikifel ile inakuwa inakuzingira mwili mzima ukishuka chini unakuwa self na ukipata jeraha unapata kidogo tu..

ningekuwa mkuu wa majeshi hapo kenya huyo mzembe ningemshoot kabisa na kombora huko huko juu kabla hajashuka ardhini
 
tena usijaribu tutawachapa kichapo cha mbwa koko pia tutawamiliki ..

100 soljaz wa Tz wanachapa hilo jeshi lenu lote na tunawabaka ,coz mpo dhaifu sana kimafunzo
unatuambia nini ilhali Kenya Defence Force, wana train na US Marines mukileta nyefenyefe tutawatwanga kama watoto 💣💣💥
 
Jeshi lenu la Kuvunja matofali ndilo well trained 😆
Alafu jamaa wanapiga makofi, got to be kidding me. Compare this show of TPDF with the Kenya Administration Police, you'll know what am talking about! 🤣 🤣 🤣
🇹🇿
Screenshot_20210526_110158.jpg

Screenshot_20210526_110138.jpg

Screenshot_20210526_110120.jpg

Screenshot_20210526_110104.jpg


Just one pic, and you already know this guys are well trained and disciplined! 🇰🇪 🔥
images (18).jpeg
 
siyo kubweka mmetia haibu ,,,lazima uwe na olternative way unajirusha kizembe kama kambale unategemea nini ,,ukitumia parachutes kama soljaz lazima uwe na bag ambalo linakuwa na baloon endapo parachute ikifel ile inakuwa inakuzingira mwili mzima ukishuka chini unakuwa self na ukipata jeraha unapata kidogo tu..

ningekuwa mkuu wa majeshi hapo kenya huyo mzembe ningemshoot kabisa na kombora huko huko juu kabla hajashuka ardhini
Naona WWE Ni mmoja wa Wale wataalam wa Magu😆Ebu nieleze na wale Jeshi gushi lenu wenye Wana uwana na Nyundo wakivunja matofali kwa Tumbo ya wenzao,eti Ni ukomando,Maajabu🤣🤣🤣🤣🤣
 
Si Mkuje Unaona izo fighter Jets umeoneshwa ndizo zitawangoa Ndevu
kama mnazo peke yenu sawa,,,,,,

tena sisi hatutotumia ndege yeyote ile zaidi ya abiria ila kupitia hivyo hivyo vifaa vyenu tutawagonga na kuviteka vyote,tutawaachia KQ tu
 
unatuambia nini ilhali Kenya Defence Force, wana train na US Marines mukileta nyefenyefe tutawatwanga kama watoto
hata mkifundishwa na Jesus,,
ishu si kufundishwa ishu ni kucover training kiufanisi kuwa well trained,hata baadhi ya wanajeshi wenu wakija huku kwenye kubadilishana uzoefu huwa ni wazito hivyo hivyo ni vilaza hawafundishiki kirahisi..

matokeo ya jeshi zaifu ndiyo hayo sasa yaliyotokea na ipo siku kwenye maonyesho kama hayo mjeshi ndani ya Jet atakuja kuwashushia kombora uwanjani ,kwa kukosa umakini na nidhamu ya kijeshi
 
Alafu jamaa wanapiga makofi, got to be kidding me. Compare this show of TPDF with the Kenya Administration Police, you'll know what am talking about!

View attachment 1805460
View attachment 1805461
View attachment 1805462
View attachment 1805464

Just one pic, and you already know this guys are well trained and disciplined!
View attachment 1805465
mafunzo ni vitendo siyo maneno,,,hao jamaa 100 tu tukiwadondosha kenya wanachapa jeshi lenu tena bila ya siraha ni kwa mwendo wa Tai Chi flow
 
Naona WWE Ni mmoja wa Wale wataalam wa MaguEbu nieleze na wale Jeshi gushi lenu wenye Wana uwana na Nyundo wakivunja matofali kwa Tumbo ya wenzao,eti Ni ukomando,Maajabu
hizo ni training za kawaida kijeshi,,,,
ogopa sana watu hao
 
mafunzo ni vitendo siyo maneno,,,hao jamaa 100 tu tukiwadondosha kenya wanachapa jeshi lenu tena bila ya siraha ni kwa mwendo wa Tai Chi flow
Jamani mchina effect unaathiri watu! Hao jamaa nawaachia mji wa kogelo tu, wale jamaa wanawatosha, hatuna haja ku waste resources! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Ama tuwape GSU, lakini tutakuwa tunawaonea, tena ni polisi tu wa kawaida hao! 🤣
 
Do you know ingekua Somalia ingekua kwa border yenu,mngekuwa mmefyekwa wote,Usicheze na
kama tulishawahi kwenda huko na tukafyekwa wote sawa....

ikiwa hivyo utakuwa ni mtabiri mzuri sana wa vita,,,
la sivyo utakuwa unajifurahisha tu,,jeshi ni tecnic,nidhamu,mbinu m,uadilifu na akili kubwa msipotumia hivyo mtaendelea kuanguka na parachutes kila baada ya kipindi..
 
Back
Top Bottom