Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

infact hizi mapicha zinani bamba mbaya!. yani tu ndo biashara imenoga..!! wakenya sisi ni watu tuna penda kujituma mazee.. uzembe tuliwaachia hawa wadanganyika. kisha utawaskia wakisema eti 'hapa kazi tu'.. ama 'ni kazi na bata'..
Tanzania ndio inalisha Kenya, yaani bila Tz Kenya mtaangamia kwa njaa, ardhi yenu kiduchu yenye rutuba inamilikiwa na uhuru Kenya, iliyobaki wanamiliki wazungu wanalima maua na chai, wenyeji mmekaa mmejazana Kibera pasi na matumaini yotote.
 
We don't care, as long as we still reign in many sports, that's what matters for now! Campeones para sempre! ๐Ÿ˜‚
Yani render na uhalisia ni vitu viwili tofaut kabisa ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Kila mtu atakayekuwa chef mwenye exposure anafaa afungue restaurant yake sio? [emoji23] [emoji23] [emoji23] Akili zingine bhana!
Angefungua hata restaurant. Elewa sentensi . Yaani kafanya kazi nchi zaidi ya tano kwa mujibu wa maneno yake halafu bado mpishi bongo wa kuajiliwa. Hizo ni akili kama zako. Ukiona temperature ya jikoni sio kazi ya kunang'ang'ania zaidi ya maana 10

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Who own them??? Au akili imebakia kurent ๐Ÿคฃ
 
Yote kisa hasira za shebby๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
 
Dreamhouses zenu tunazijua kijana. Ukitaka picha sema tukuletee
Mimi nakupa video kabisa na page mzima

Hii neighbourhood huko Dodoma ingekua ipo Kenya ingeshapigwa pictures million kidogo with tonnes of braggings from slum dwellers kama kawaida yenu

Ipo Dom na tumenyammaza, ndio ujue kwenye mambo ya housings Tanzania tupo kwenye league yetu wenyewe

 
๐Ÿ˜–๐Ÿ˜–๐Ÿคฎ๐Ÿคฎ๐Ÿคฎ๐Ÿคฎ๐Ÿคง๐Ÿคง

Wakenya ni wachafu kichizi daaaah
Mazingira machafu hivyo mtu unaishije?
Kwao ni kawaida sana mbona yani huko mtu hana thamani kabisa ni sawa na mbwa tu๐Ÿคฃ
 
Ss hii ndiyo saizi ya Nairobi, kwamba mtaanza kupambana na Dodoma cz Dar ni level ingine, Nairobi ni Kenya na Kenya ni Nairobi tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dar Ni level nyingine wakati hamna majibu za gated communities za nairobi! Kazi ni kulialia hapa 'estate'! Nilikuambia organized gated communities zinapatikana in almost all major towns in Kenya. Look at Kisumu below kisha linganisha na zile chuma kavu za Dodoma

Wakati nyinyi mnangoja serikali iwajengee chuma chakavu hapo Dodoma, hizi za Kisumu zinajengwa na private sector
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ