game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 11,056
- 26,333
Mama hana uwezo wa kuongoz nchi, hii miaka minne ni mingi sana
Mama hana uwezo wa kuongoz nchi, hii miaka minne ni mingi sana
Report ya CAG ilivyosomwa hapa mlitamani kujificha baada ya kuibua madudu kibao...lakin wap kama kawaida binadamu kusahau ni haraka....Haya basi Izo hela ni yeye ndio alisema ziliwe uta-DO?
Yeah, charcoal field which btw, most of them produce world-class athletes(world record holders), and that's a fact you can't take away! 🤣 🤣 🤣 🤣Mabati rollings....Buy kenyan build kenya 🤣 🤣 👇
![]()
MY TAKE
They are tarmacking the running track! Charcoal field!
Magufuli alisifiwa tangu akiwa hai,sio lile lizee lenu lilikufa na kila kitu hata kusifiwa halisifiwi,mnaliita nani moi au kibaki I don't knowMtu akifa lazima asifiwe hakuna jipya😂
Alisifiwa na 'wafungwa' wake! 🤣 🤣 🤣 Mlinyooshwa yaani!Magufuli alisifiwa tangu akiwa hai,sio lile lizee lenu lilikufa na kila kitu hata kusifiwa halisifiwi,mnaliita nani moi au kibaki I don't know
Magu was a hero na alisifiwa tangu akiwa hai...unataka ushahidi!??
Sema unataka ushahidi...!??..sio unabwabwaja tu hapa,unafikiri magu ni kama huyo mlevi wenu bwana madeniAlisifiwa na 'wafungwa' wake! 🤣 🤣 🤣 Mlinyooshwa yaani!
Vipi, sheria zimewekwa easy siku hizi? 😂Sema unataka ushahidi...!??..sio unabwabwaja tu hapa,unafikiri magu ni kama huyo mlevi wenu bwana madeni
Sheria hazijawahi kuwa easy wala tough,don't reason kama mlevi wenu huyo mzee wa kukopaVipi, sheria zimewekwa easy siku hizi? 😂
We ni mchuma chai tu..... huwezi kuwa muuguzi kilaza namna hiyosawa.. mi mshamba kweli, lakini masomo ya shahada UoN,.. kazi KenHa!,.. makazi, Langata.. mimi muhuguzi.. na mshahara ya kikenya, sijui ningekua Tz ningelipwa ngapi!??🤔🤔 ($1=Tsh2,399😝😝). kenya sihami!
Jamaa anajikuta ye muuguzi,kumbe ni mchuma chai tu wa kericho..aisee wakenya kwa ku-fake life wako vizuri aiseeeBwana Shamba wa Kericho![]()
Haaàaaa tajiri unatumiaga id nyingine . Halafu anazuga. Kuna id inakuaga kimya ukirudi kwenye id hii . Sawa bwana mahela aka the don au richest Kunyan in jfNimejua unitaki hapa, leo niko hapa kuanzia saa hii hadi kesho jioni. Ukipenda unaezajinyonga.
living standards in kenya is very high, quality of life here is just awesome!, and hence what do you expect??... you'll also expect that life to be expensive!With 1000 ya Kenya I can Drink 4 beers hapo Nairobi, but I can drink 10 beers hapa Bongo, meaning that it can do more in Tz and do less in Kenya.
Umeelewa sasa mwanamke?
Wewe ndio una hasira, ni mume mwenzio huyo! Vipi wewe! 🤣 🤣 🤣 🤣au nawe ni mchuma chai?????
Mbona unakasirika sana waruu
Anhaaa kumbe dyfre ni mume mwenzangu na wewe ndo mke wetu..!!!Wewe ndio una hasira, ni mume mwenzio huyo! Vipi wewe! 🤣 🤣 🤣 🤣
Mimi nina dushe kumbuka! 🤣 🤣 🤣Anhaaa kumbe dyfre ni mume mwenzangu na wewe ndo mke wetu..!!!
Duh sikujua kabla,wadau oneni nimelazimishwa kuwa mume mwenza wa dyfre..hahaaaa