Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,609
- 15,712
Mwenyewe anaibeba kwa gari anapeleka Tandale kutafuta mnunuziNimekuuliza swali je wasiponunua anafanya nn mwenye hio estate?? Jibu swali kwa kutumia akili nyingi sana tafadhal😅😅
Mwenyewe anaibeba kwa gari anapeleka Tandale kutafuta mnunuziNimekuuliza swali je wasiponunua anafanya nn mwenye hio estate?? Jibu swali kwa kutumia akili nyingi sana tafadhal😅😅
Mabibi na mabwana hawa ndio wale wakenya wanaojigamba kuwa wana elimu boraam begging you tanzanians... please please shift from Socialist/Communists to Capitalists like us, if you want to be rich like us... mark you we were at par during independence, our shilling were at par.. lakini sahizi.. mnatuonea Viusasa..
ona, US, England, France, Germany are all Capitalists.. that's why they are very rich. but russia which was once a supepower even ahead of US, Ujamaa pulled it down to 3rd world



Hio kiwango ilipangwa na KBS ama??🤣🤣 tuoneshe organised residential bila estate leo mm nicheke 😂😂😂😂😂Wewe kilaza kweli, Tanzania ni masikini kiwango hii kuona kitu mzuri, tena kwa wingi ni ya wanasiasa 😂😂😂., limasikini kweli😂😂😂., tokeni porini., sasa Eldoret mzima ni ya politicians because iko na organized residential sehemu nyingi tu😂😂😂😂😂 Mko pabaya, kumbe Magufuli hangewakomboa, pengine mama atajaribu., 😂😂😂😂
Haitakosa kununuliwa, sio Kenya dogo😂😂😂😂, haijatokea bado..,na haitatokea., Na ikitokea benki inamiliki na kupinga mnada kwa sababu most investors wanatumia loan, na ni raiya wa Kenya., ukitaka jinyonge😂😂 na majority real estate businessmen sio wanasiasa ama familia za wanasiasa, ama bado utapinga kilaza?.,😂😂😂😂.,Nimekuuliza swali je wasiponunua anafanya nn mwenye hio estate?? Jibu swali kwa kutumia akili nyingi sana tafadhal😅😅
Nilijua lazma ulete hasira mbele 🤣🤣Mwenyewe anaibeba kwa gari anapeleka Tandale kutafuta mnunuzi
Wivu instead of response😂😂😂😂, ya Tanzania iko wapi?😂😂😂.,Umeweka forest na mashamba yote yaliomo ndani ya karen area??😂😂😂😂
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿Woooi zile 5000mw ndio zinatekelezwa RIP JPM ulifanya kazi yako vyema mh
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
So kunyan uchumi wenu uko sawa na japan?thamani ya pesa na uchumi vitu viwili tofauti nyie nyang'au1Ksh=21Tsh...........
1Usd=107Ksh.....
1Usd=2,319Tsh......
🤔🤔🤔🤔🤔
1Rand=7Ksh......
1Rand=170Tsh......
Shamba za hayati hebu zitaje ?? Unafkiri tanzania kuna umimi kama kwenu 😂😂 familia moja inamilikia ardhi ya kuweka wakenya 20million alaf wako hapa kushangilia😂😂😂😂😂., Unajua sehemu ambapo shamba za hawa hayati ziko kweli? 😂😂😂😝., nilikuambia wewe ni semi illiterate, naona ukishuka hadi illiterate sasa😝😂😂😂😂., Moi mkulima, Kenyatta shamba zake kubwa ziko sehemu za pwani na ni undeveloped 😂😂😂😂😂., unajaribu kulazimisha fikra zako lakini wapi., So all organized residential in Kiambu, Thika, Machakos, Arthi River, Kitengela ni za Moi na Kenyatta., Pia Eldoret, Kisumu, Mombasa, Kakamega😂😂😂😂., Unatia huruma na kuleta aibu😂😂😂.,
Huyo amefika Kenya amezurura Karen, wewe hujui hilo😂😂😂😂😂., anajua hakuna mkenya anaweza nunua nyumba kama si mwana siasa😂😂😂😂, heshimu huyu dogo semi illiterate 😂Ressoning yako ni ya kijinga sana. Hiyo forest iliyoko Karen ni gani? Hebu itaje kwa jina. Na hizo mashamba zinaitwaje ?
Na wanaopanga waliweza kununua??🤣🤣 au hujui majority wame rent au unataka facts nijibu labda unashida na factsHaitakosa kununuliwa, sio Kenya dogo😂😂😂😂, haijatokea bado..,na haitatokea., Na ikitokea benki inamiliki na kupinga mnada kwa sababu most investors wanatumia loan, na ni raiya wa Kenya., ukitaka jinyonge😂😂 na majority real estate businessmen sio wanasiasa ama familia za wanasiasa, ama bado utapinga kilaza?.,😂😂😂😂.,
Mukiulizwa mbona munakua na hasira 🤣🤣Wivu instead of response😂😂😂😂, ya Tanzania iko wapi?😂😂😂.,
🤣🤣🤣🤣🤣 yani ukimsikiliza mkenya unaeza sema ni nchi iko europe ngoja ukutane na mambo kwa ground congo ina nafuuSo kunyan uchumi wenu uko sawa na japan?thamani ya pesa na uchumi vitu viwili tofauti nyie nyang'au
View attachment 1798768
Kwamba karen ni estates na wamikiki wa estates kenya wanajulikana sasa unataka nn tupige hesabu za ramli ama??🤣🤣🤣🤣 hasira ya nn budaa kama ndoto huna huna tuHuyo amefika Kenya amezurura Karen, wewe hujui hilo😂😂😂😂😂., anajua hakuna mkenya anaweza nunua nyumba kama si mwana siasa😂😂😂😂, heshimu huyu dogo semi illiterate 😂
😂😂😂😂Ona ulivyo fala😂😂😂., estate sio residential kwani😂😂😂😂., nyambaff am trying to reason with an idiot😂😂😂., lishamba., unajua maana ya estate kweli? Kenya tunajenga residentials in areas known as estates., na sio lazima nyumba zifanane kilaza, akili za kitanzania hizi ni ovyo kweli, eti nionyeshe residential bila estate,😂😂😂😂😂., Kenya ain't Tanzania or Uganda., mko na same characteristics na Uganda na Burundi.,Hio kiwango ilipangwa na KBS ama??🤣🤣 tuoneshe organised residential bila estate leo mm nicheke 😂😂😂😂😂
Ona hizi fikra😂😂😂😂., kumbe lishamba halijui maana ya estate ni nini, sasa nimegundia maana ya estate in Kenya sio maana ya estate in Tanzania., 😂😂😂😂.,Kwamba karen ni estates na wamikiki wa estates kenya wanajulikana sasa unataka nn tupige hesabu za ramli ama??🤣🤣🤣🤣 hasira ya nn budaa kama ndoto huna huna tu
Mnakama miaka 100 hv mfike mahali Russia wako leo so shut the x upam begging you tanzanians... please please shift from Socialist/Communists to Capitalists like us, if you want to be rich like us... mark you we were at par during independence, our shilling were at par.. lakini sahizi.. mnatuonea Viusasa..
ona, US, England, France, Germany are all Capitalists.. that's why they are very rich. but Russia which was once a superpower even ahead of US, Ujamaa pulled it down to 3rd world
Hii response yako is a fallacy if I put it in context of your argument,So kunyan uchumi wenu uko sawa na japan?thamani ya pesa na uchumi vitu viwili tofauti nyie nyang'au
View attachment 1798768