Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ressoning yako ni ya kijinga sana. Hiyo forest iliyoko Karen ni gani? Hebu itaje kwa jina. Na hizo mashamba zinaitwaje ?
Unapoongelea ukubwa uongelee na density iliosimikwa ndio maana nakwambia masaki ni kubwa sana na iko more density au pia unabisha
8A4B3859-CE0F-4D3B-94FE-6FE7666839B3.jpeg
 
Jibu swali zisipouzika investor anafanya nn?? Manake biashara ya kurent haohao wamikiki wanaipenda sana kwasababu inaingiza pesa za rent na bado estate inabaki kua yake 🀣 au mm nasema urongooo
Let me assist you since wewe ni semi illiterate as u have proven alreadyπŸ˜‚πŸ˜‚., investors wa real estate hardly put their properties for rent, very few do for specific reasons, but majorly they don't because it takes on average 10 to 15 years to break even if one rents out a property, before starting to make any profits, ndio maana real estate companies build to sell, quick returns, na ndio mtindo globally, Tanzania bado nchi ya kishamba, nyumba za kishamba kila kona, mshamba kama wewe ukiona anything organized from Kenya unafikiria maisha ni kama za kule kwenyu, wenye hela wanakodisha organized estates in Tanzania nyie wengine mnajenga kiholela na kuishi hivi πŸ‘‡πŸ‘‡90% of sq km
Housing standards za nchi ya Muungano wa Tanzania hizi hapa, sio slums kama ilivyo kauli yenyu but "owned" by TanzaniansπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ Mimi najua in Dar more than 70% wamekodisha wanatafuta maisha., umasikini ndio wimbo.., can't afford standard housing.,
images-117.jpg

images-108.jpg

images-114.jpg
images-103.jpg

2773838_IMG_20210514_140557_229.jpg

Screenshot_20210517-115337.jpg
 
Jibu swali zisipouzika investor anafanya nn?? Manake biashara ya kurent haohao wamikiki wanaipenda sana kwasababu inaingiza pesa za rent na bado estate inabaki kua yake 🀣 au mm nasema urongooo
Najua elimu yako ni duni ila bado nakurudisha tu pale pale. Do some research on market analysis. Utajiona mjinga sana kuuliza maswali kama haya baada ya kufanya hivyo
 
Slum dwellers wanachangamka, not just boda boda riders alone, give them next few years.., aggressiveness πŸ’ͺ.sio uzembe na hadithi za vijiweni.,

Hii siasa tulishaisikia 10 yrs ago kipindi cha kibaki achilia mbali uhuru 🀣🀣🀣🀣
Utalia hadi basi sokwe mtuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
 
Let me assist you since wewe ni semi illiterate as u have proven alreadyπŸ˜‚πŸ˜‚., investors wa real estate hardly put their properties for rent, very few do for specific reasons, but majorly they don't because it takes on average 10 to 15 years to break even if one rents out a property, before starting to make any profits, ndio maana real estate companies build to sell, quick returns, na ndio mtindo globally, Tanzania bado nchi ya kishamba, nyumba za kishamba kila kona, mshamba kama wewe ukiona anything organized from Kenya unafikiria maisha ni kama za kule kwenyu, wenye hela wanakodisha organized estates in Tanzania nyie wengine mnajenga kiholela na kuishi hivi πŸ‘‡πŸ‘‡90% of sq km
Housing standards za nchi ya Muungano wa Tanzania hizi hapa, sio slums kama ilivyo kauli yenyu but "owned" by TanzaniansπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ Mimi najua in Dar more than 70% wamekodisha wanatafuta maisha., umasikini ndio wimbo.., can't afford standard housing.,
View attachment 1798738
View attachment 1798739
View attachment 1798740View attachment 1798741

View attachment 1798722

View attachment 1798726
Asante kwa picha za google 🀣🀣 sikutegemea hasira kama hzi ardhi nikitu cha thamani sana kenya unajua kwann kwasababu inakilikiwa na wachache, ndio maana mtu kujenga estates akapangisha hana hasara kwasababu pesa inaingia na ardhi inabaki kua yake na kila siku ardhi inapanda thamani kutokana na population kua kubwa na ardhi kuzidi kua chache na adimu 😁😁😁 sasa investor wakiekeza anakua hana njaa kama wewe kiazi yeye anaekeza akijua pesa itaingia na ardhi itakuwepo akisubiri future generations

ndio maana mulipokua munashangilia nusu ya nairobi ni misitu tuliwaambia hio misitu munashangilia ni mali za watu wako kimya wanasubiri fursa tu zikifika wanafanya mambo yaoπŸ˜…πŸ˜…

mzee ukweli utabakia pale pale kua wakenya wengi hawana ndoto ya kumiliki plot nairobi na hili liko wazi haliitaji ramli hata kama utanichukia haisaidiiiπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Labda zinunuliwe na watoto au familia za politicians 🀣🀣🀣🀣 wengine subirini bedsitter murent alaf kesho muje museme nasisi middle class πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ mutaota ndoto za alinacha kuwaza kumiliki plot mpaka dunia iundwe tena
Wewe kilaza kweli, Tanzania ni masikini kiwango hii kuona kitu mzuri, tena kwa wingi ni ya wanasiasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., limasikini kweliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., tokeni porini., sasa Eldoret mzima ni ya politicians because iko na organized residential sehemu nyingi tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mko pabaya, kumbe Magufuli hangewakomboa, pengine mama atajaribu., πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
am begging you tanzanians... please please shift from Socialism/Communism to Capitalism like us, if you want to be rich like us... take note tht we were at par during independence, our shilling were at par.. lakini sahizi.. mnatuonea Viusasa..
ona, US, Japan, South korea, Britain, France, Germany are all Capitalists.. that's why they are very rich. but Russia which was once a superpower even ahead of US, Ujamaa pulled it down to 3rd world
 
Utalia hadi basi sokwe mtuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
🀣🀣🀣 mm nilie nimetaja wawili unaeza endele kutaja na wengine wakina sonko na kidero sijui πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
22AAAE50-E67D-4C2F-A33C-38075861F968.jpeg
 
Najua elimu yako ni duni ila bado nakurudisha tu pale pale. Do some research on market analysis. Utajiona mjinga sana kuuliza maswali kama haya baada ya kufanya hivyo
Elimu yangu iwe duni au sio duni madamu kinachoongelewa kina aksi ukweli basi kichukue kikusaidie hataka kama utafucha upupu haitasaidia 🀣🀣🀣🀣 mm nimekuuliza na wala hili halikwepeki investor wengi hawana njaa kama unavofkiri na wala hakurupuki ovyo ardhi ni kitu cha thamani sana na kinapanda thamani kila baada ya saa moja πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Najua elimu yako ni duni ila bado nakurudisha tu pale pale. Do some research on market analysis. Utajiona mjinga sana kuuliza maswali kama haya baada ya kufanya hivyo
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ Yakikusaidia chukua
Asante kwa picha za google 🀣🀣 sikutegemea hasira kama hzi ardhi nikitu cha thamani sana kenya unajua kwann kwasababu inakilikiwa na wachache, ndio maana mtu kujenga estates akapangisha hana hasara kwasababu pesa inaingia na ardhi inabaki kua yake na kila siku ardhi inapanda thamani kutokana na population kua kubwa na ardhi kuzidi kua chache na adimu 😁😁😁 sasa investor wakiekeza anakua hana njaa kama wewe kiazi yeye anaekeza akijua pesa itaingia na ardhi itakuwepo akisubiri future generations

ndio maana mulipokua munashangilia nusu ya nairobi ni misitu tuliwaambia hio misitu munashangilia ni mali za watu wako kimya wanasubiri fursa tu zikifika wanafanya mambo yaoπŸ˜…πŸ˜…

mzee ukweli utabakia pale pale kua wakenya wengi hawana ndoto ya kumiliki plot nairobi na hili liko wazi haliitaji ramli hata kama utanichukia haisaidiiiπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Naona mnajaribu kutengeneza tengeneza ila bado. Most are still unpaved.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Tenah,. Hakuna sehem ambayo ni unpaved hapo hata moja, Nina video ya two years ago mkononi inayoonesha hiyo mitaa na ntaiweka hiyo vid humu ndani siku mkijitia vichwa ngumu, nawaacha kwanza mpige kelele mingi
 
Nateseka kuona wapi?? Mm nawajua vzr sana nyinyi hata sasa hvi munanichukia sana kwasababu naanika musiotaka yajulikane au naema urongoooo😁😁😁😁 kwan majority of plots zinamilikiwa na kina nani hebu wataje basi bila hasira
Mm naanza na hawa πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡ endelea na wengine
View attachment 1798709
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., Unajua sehemu ambapo shamba za hawa hayati ziko kweli? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜., nilikuambia wewe ni semi illiterate, naona ukishuka hadi illiterate sasaπŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., Moi mkulima, Kenyatta shamba zake kubwa ziko sehemu za pwani na ni undeveloped πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., unajaribu kulazimisha fikra zako lakini wapi., So all organized residential in Kiambu, Thika, Machakos, Arthi River, Kitengela ni za Moi na Kenyatta., Pia Eldoret, Kisumu, Mombasa, KakamegaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., Unatia huruma na kuleta aibuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
 
Back
Top Bottom