Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Fumba Town ya Zanzibar inayojengwa na Kampuni ya Kikenya is the only thing close to an estate with roads - alafu roads zenyewe tu ni zenye ziko within the gated community - outside hakuna access roads. 🤣🤣🤣
wewe naona mdomo umejaa mavi sasa, Fumba Town inajengwa na kampuni ya Kikenya? Si ya Kijerumani? Na Bakhresa Group imekuwa Kenyan?

What is Kenyan here?

Wacha kunya kupitia huo mdomoni!
 
Na wenye project wa hzo estate ni wale wale wanajulikana niliwataja jana
In real estate kenya yyte anaweza jiingiza, km mpka akina akothee na jaguar wanafanya sasa...au ilikua unamaanisha hao pia

Real estate ndio big thing sai kenya, ukiwa na hela unajiingiza katika hayo mambo na unakula mgao wako vizuri baada ya kampuni kufanya kazi..
Hisa ndio kila kitu mzee
 
Yaani hivi developer akijenga nyumba alafu aniuzie hiyo nyumba inakuwa ni yake ama yangu? Kuna kitu sielewi kwa Logic ya hawa wabongolala.
 
Yaani hivi developer akijenga nyumba alafu aniuzie hiyo nyumba inakuwa ni yake ama yangu? Kuna kitu sielewi kwa Logic ya hawa wabongolala.
Machungu yao kwann hatuchori ramani wnywe tunawaachiwa wataalamu watufanyie kila kitu alafu mwisho mtu unakuja kuingia kiulaini bora ulipe hela zako
 
Hta mbezi kuna sehemu barabara mbovu kishenzi
Niliona video fulani Youtube mzungu fulani akionyesha the richest neighborhood in Dar nilicheka. Yani richest neighborhood lakini barabara za Umoja zimeishinda. Vumbi tupu. Ebu Tazama video - Ati sasa hiyo ndio Muthaiga yao. 🤣 🤣 🤣
 
Machungu yao kwann hatuchori ramani wnywe tunawaachiwa wataalamu watufanyie kila kitu alafu mwisho mtu unakuja kuingia kiulaini bora ulipe hela zako
Hawajui hapa Nairobi bora uko na doo utapata hao unataka. Ukitaka swimming pool, hot water pool, 7 bedroom - whatever you want and you get to choose which neighborhood you'll buy na pia ukijiskia kujijengea utajijengea tu.
 
Nashangaa sana na wengi wetu hapa watanzania mnataka kuilazimishia kenya umasikini kila saa kibera afrika nzima hakuna nchi utasema inaeza kujisamamia tuna changamoto sisi sote. Watanzania hapa wakiongea utadhani nchi yao ni marekani au ulaya na Kenya ni Burundi. Lakini ukweli wa mambo natumia kila mmoja anajua hali ilivyo katika nchi yake. Kubali hali yako ushughulike kuunda maisha yako sio kupiga kelele hapa ukimdhulumu jirani yako eti masikini ilhali wewe pia hata maisha yako binafsi haina muelekeo.
waTz kiundani kabisa wanajua vizuri sana kenya imepiga hatua zaidi ya nchi yao, ila wao kukubali itakua show. ata mwl nyerere aliwahi taja kenya kama uzunguni ama ulaya. na nairobi eti london
 
Zinanunuliwa na nani??? Nani ananunua au unatuambia habari ya kurent ??🤣🤣🤣 na wamikiki wa hizo estates utaskia ni wale wale wa kila siku au mm nasema urongo

Wacha tuzoom sasa👇👇👇🤣🤣🤣 tuone kwann mzungu asiwe na akili
View attachment 1797980View attachment 1797984
Unahangaika sana kijana wa Tandale. Kubali hamna chochote hapo fishing village. Hata uzoom hadi utuonyeshe vumbi haitabadilisha chochote kwamba hizo sehemu mbili ni kama ardhi na mbingu.

Hii swali ya nani wananunua nyumba unauliza kila siku na nikikuuliza kama kuna watanzania wananunua hizo nyumba na sio wakenya unatoa povu. Nyumba zinanunuliwa na wakenya. Kama hakungekuwa na wanunuzi hazingekuwa zinauzwa in the first place. Ndio maana kuna siku nilikuuliza kama unajua kitu kuhusu market analysis but ulishindwa kujibu. Piga kelele utakavyo kutoka dreamhouse yako hapo Tandale but haitozuia wakenya kununua nyumba. They are there for sale and Kenyans will continue buying them
 
Yani familia moja inamiliki ardhi yenye km za mraba 1000 alfu mpo tuu mmekaa kimya, mnajichekesha umu ndani, kibaya zaidi sio kwamba iyo familia inamiliki ardhi uko kwenye jangwa turkana bali ni around central na rift valley region 😅😅😅😅 daah nyie wadau mnachekesha sana
 
Unahangaika sana kijana wa Tandale. Kubali hamna chochote hapo fishing village. Hata uzoom hadi utuonyeshe vumbi haitabadilisha chochote kwamba hizo sehemu mbili ni kama ardhi na mbingu.

Hii swali ya nani wananunua nyumba unauliza kila siku na nikikuuliza kama kuna watanzania wananunua hizo nyumba na sio wakenya unatoa povu. Nyumba zinanunuliwa na wakenya. Kama hakungekuwa na wanunuzi hazingekuwa zinauzwa in the first place. Ndio maana kuna siku nilikuuliza kama unajua kitu kuhusu market analysis but ulishindwa kujibu. Piga kelele utakavyo kutoka dreamhouse yako hapo Tandale but haitozuia wakenya kununua nyumba. They are there for sale and Kenyans will continue buying them

Mnanunua au mnapangishwa nyosha maelezo mzee 🤔
 
Hawajui hapa Nairobi bora uko na doo utapata hao unataka. Ukitaka swimming pool, hot water pool, 7 bedroom - whatever you want and you get to choose which neighborhood you'll buy na pia ukijiskia kujijengea utajijengea tu.
Achana na hawa malazy wa south waendelee kujenga shanties na kuziita dreamhouse
 
its been long tuki post Thika Superhighway. tu kwa ukumbusho tena
thika-superhighwayNNE.jpg
thika superhighway1.jpg
 
waTz kiundani kabisa wanajua vizuri sana kenya imepiga hatua zaidi ya nchi yao, ila wao kukubali itakua show. ata mwl nyerere aliwahi taja kenya kama uzunguni ama ulaya. na nairobi eti london
Weka evidence
 
Back
Top Bottom