Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yafaa pia utambue serikali imewekeza pesa nyingi katika miundombinu ya msingi, maji,umeme,barabara...mtoe credit where it due msiwe wanafiki
Wewe hua unakuwanga sober, sio kama hawa wengine. I always give credit where it's due. Ki ukweli Mimi sio mnafiki. Mnafiki mkubwa hapa tena mbishi kuliko wote ni ndugu yako Ichoboy. Yenye hupinga hadi kitu kilichowazi
 
victoria or morocco?

Victoria, There is an old building that was to be built near Viva towers or Adjacent to City Lodge Hotel, it was moved to Victoria. All the digging was done but stalled. Its a 25F building.
 
Wewe hua unakuwanga sober, sio kama hawa wengine. I always give credit where it's due. Ki ukweli Mimi sio mnafiki. Mnafiki mkubwa hapa tena mbishi kuliko wote ni ndugu yako Ichoboy. Yenye hupinga hadi kitu kilichowazi
Ichoboy mnamtibua wenyewe
 
Huu mradi wa Seven eleven upo kawe, ikikamilika huu utakua mradi wa kuvutia sana .. utakua na majengo nane yenye floors 18 each .. huu apa 👇.

Hii miradi though fancy na inapendezesha jiji kwa sasa sioni tija yake! Labda kama ikienda kujengwa Dodoma ambayo itaendelea kukua for the next 50 years! Time will tell, maana Dar Real Estate market imedorora haswa baada ya serikali kuhamishia taasisi zake Dodoma na sioni hilo likibadilika labda kama zoezi la kuhamia Dodoma lisitishwe! Tuache kudanganyana!

NHC iangalie sehemu zitakazoleta returns haraka! NHC inapaswa tu kumalizia miradi iliyokuwa inaifanya 2015 kabla ya JPM kuingilia kati! Miradi mingine isimame!! Na naongea hivi kama mtu mwenye kufahamu hali ya soko la Real Estate Dar occupancy ipo chini ya 50% !!

Muache kushabikia vitu visivyo na tija kwa akili za matope, hii miradi wakati ikiwa-designed suala la makao makuu kuhamia Dodoma halikuwa kwenye picture! Mimi binafsi nayaonya mashirika ya hifadhi ya jamii yasithubutu kutumia mafao yangu kuwekeza kwenye Real Estate Dar! Kwanza wahakikishe majengo yao yoote occupancy ipo over 70% ndo waje na miradi hii! Schwein!!!
 
mradi wa umeme wa mto Malagarasi kumbe upo..



Hii ndo miradi ya kushangilia sio miradi ya Real Estate wakati occupancy ya iliyopo ipo chini ya 50%! Kuna wakati ilifika mpaka Bunge likataka kuzuia voluntary retirement kwa vile mifuko ya jamii haikuwa na fedha kulipa Wastaafu! Mpaka serikali ilipoingilia kati ku-merge mifuko na kubaki na miwili na pia kulipa madeni ya mifuko ya mafao. Hii NHC nayo isipoangalia itaenda kufilisika itajenga mahekalu (monuments) sehemu zisizohitajika kwa sasa!
 

Hii sio mbaya let them wamalize miradi iliyokuwa stagnant maana kiuchumi hai-make sense jengo kama la Morocco Square kuachwa bila kumaliziwa maana lita-deteriorate! Ila masithubutu kuanza miradi mipya wakati Real Estate occupancy ya Dar ipo chini ya 50%! Waangalie kujenga makazi sehemu zenye uhitaji haswa Dodoma! Huku Dar kazi yao ibaki ku-market miradi yao mpaka ocuupancy ivuke 70%!

Pia serikali imalizie all the 6 phases za BRT na pia ile +100km super Highway Chalinze-Dar kwanza; maana mshika mawili moja humponyoka!
 
Victoria, There is an old building that was to be built near Viva towers or Adjacent to City Lodge Hotel, it was moved to Victoria. All the digging was done but stalled. Its a 25F building.
Kwahiyo nawewe NDINDA una-support miradi ya utopolo wakati occupancy ya iliyokamilika ipo chini ya 50%? seriously??
 
Fumba Town ya Zanzibar inayojengwa na Kampuni ya Kikenya is the only thing close to an estate with roads - alafu roads zenyewe tu ni zenye ziko within the gated community - outside hakuna access roads. 🤣🤣🤣

Cha kushangaza mnadiss mfumo wetu alafu tukiwaletea huo huo mfumo kwenu inakuwa ndio bragging point yenu. 🤣 🤣 🤣
Kwani huwajui? Inferiority complex husumbua hawa watu sana. Kwa upande moja wanadiss apartments and gated communities. When they get the chance to post the few decent apartments and gated communities that they have, zinashabikiwa hadi watu hunengua viuno! Yani kitu yenye sisi tunayo ni kibaya. The same thing (or even if it's of lesser quality) ikipatikana kwao ni kizuri.

Utaona wakishambulia apartments za Nairobi na kuziita dormitories but the same same people utaona wakipost apartments za Masaki na kuzipa sifa zote! Those are the kind of people we are dealing with
 
Wewe unaniwekea porojo?give me real statistics ni kweli kwenye mambo machache mmetuzidi lakini pia mengi tumewazidi sana.weka relevant evidence sio porojo za mitandaoni
Tukileta data za zile vitu tumewazidi mnaleta siasa ndani. Kijana wenu Ichoboy is very good at this

Mfano ni hii ya middle-class population
images(144).jpg
images(1).png
images(2).png
images(3).png

Na tukisema wakenya hununua nyumba Nairobi mnabisha na kuleta feelings wakati ni wazi middle-class yetu ni kubwa kushinda yenu
 
Back
Top Bottom