Fanya yako kijana. Mambo mengine hayakuhusu.Ile billion 20 ya mo simba iko wapi?[emoji1787][emoji1787]
Fanya yako kijana. Mambo mengine hayakuhusu.Ile billion 20 ya mo simba iko wapi?[emoji1787][emoji1787]
Zile kelele za NOT FENCED tupa kule [emoji23]
Sasa wanasimamisha kende kubisha nn wkt ndo tunakesha kila siku tukiwaambia vitu wanavyovijua[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] [emoji3][emoji3][emoji3]
Shash.. mwanzo..What type of weed are rolling?
Kwn yeye ana mpango na biashara ndogo ndogo za estates [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]huyu tajir sijawah kusikia kaenda kenya
View attachment 1796223
Yn muwekezaji mmoja tu ni sawa na uwekezaji wa makampuni 500, Wakenya kweli wababaishaji, btw cku hz hatusikii kelele zao za kusema wamewekeza Tz [emoji3][emoji3]Hawa ndio real investors.
Sio makampuni 500 halafu investment ni 1.7 [emoji23][emoji23][emoji23]
Unadhani Magufuli ni chizi? Yule mzee alishamaliza kila kitu tushindwe cc tu.haya sasa, kazi inaendelea
View attachment 1797277
nyie huu mradi ukizinduliwa... lazima uzungumzwe bara zima[emoji1][emoji1].. na wakenya watamponda uhunye kwa kuwaletea garimoshi
we can as well source it from botswana, namibia or even SA.. our geography teacher once tought as tht, whr there is gold and diamond.., uranium can also be found! you dont have diamondsMtakua mnanunua uranium kwetu safi sana
Karibu mgeni, karibu sana, ila omba muongozo toka kwa wakunya wenzio wakuambie kwamba hii ni Tz mpya co ile ya 90[emoji1787][emoji1787][emoji1787]once again i say, dangote did the biggest blunder to invest in tz,..
kenya is the real deal!
View attachment 1797199View attachment 1797200View attachment 1797201View attachment 1797202View attachment 1797203View attachment 1797204View attachment 1797205View attachment 1797206
Mgeni uyo, ndivyo alivyofundishwa na mamangina [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]What type of weed are rolling?
According to who? Mamangina [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hizi Body za maBus zenu zote, Oil tankers, na maTrailer.... zooote ni 'made in kenya!'
Huyu balozi anapiga kazi c mchezo aisee.Karibuni muekeze [emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Unadhani Magufuli ni chizi? Yule mzee alishamaliza kila kitu tushindwe cc tu.
Kwa wasiomjua Magu vzr ni kwamba Magu ni tozi, na mpango wake ulikuwa kujenga reli ya mfano hapa Afrika ili kuwaonesha waafrika kwamba wasijidharau tunaweza, ngj waone aina ya treni alizotaka Magu zi operate Tz ndo watazimia kabisa labda wabadilishe kwa uoga wa viongozi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sauti ya maumivu makali baada ya kuona investors have changed their motion [emoji1787][emoji1787]Bado unataka aendelee kupiga tena sasa hivi ndio atawaumiza kabisa.yani mtu mmoja awekeze nyanja zote hzo[emoji1787]
Asante sana kenyatta kw kumfukuza dangote kijanja, nchi yetu heri tuitafune wenyewe kuliko kuja kumpa mpigaji kw jina la muwekezaji
Mataga si mnapenda kujikosha jamani[emoji1787][emoji1787]Sauti ya maumivu makali baada ya kuona investors have changed their motion [emoji1787][emoji1787]
Kila kitu nowadays ni Tz [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205]
Mmeharibu nchi yenu kwa tamaa za vitu vidogo now investors wamekimbia, kazi hamna mnakula mawe, investors wote wanahamia mahali resources ziko, zamani walikuwa wanaenda kwa mawakala lkn Magu kabadilisha gemu investors wameujua ukweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mfanyabiashara gn atakubali kuweka rehani mali zake kwenye nchi iliyojaa rushwa, wizi, utapeli, uchawi, njaa, ukame, magonjwa na kila aina ya uozo? Ingekuwa ni wewe ungekubali upuuzi huo? Yn usiwekeze Tz ukawekeze Kenya? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]