Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar nzima ingekuwa inafanana hivyo hiyo kelele yenu ya dreamhouses ingesikika. Unfortunately, that's not the case. More than half of Dar looks like this image below and that's why we refer to thse shanties as your dreamhouses coz these are the type of houses that majoritybof dar residents live in (the so called dreamhouses) including many of you who make noise in here
View attachment 1794873
2021_05_23_11.09.49.jpg
 
Is it Kajiado au Nairobi? 😅😅😅

Kajiado unaijua wewe? 😂😂😂

View attachment 1794843

Kajiado ni hii hapa Buda 😅😅😅
Got turkana vibes

View attachment 1794844

Watanzania Muwe macho sana, hapa unapakiwa kwenye kapu bila kujua 😅😅😅
Most tanzanians are illitrates, picha yako tayari imesema rongai iko kajiado, wewe tena unasema haiko kajiado😂😂😂 i give up on tanzanians😁😁😁
IMG_20210523_110737_637.jpg

Alafu kajiado ina towns nyingi thanks to Nairobi metro, kitengela hio(rudia posts zangu utaona picha)
IMG_20210523_110552_017.jpg
 
Dar nzima ingekuwa inafanana hivyo hiyo kelele yenu ya dreamhouses ingesikika. Unfortunately, that's not the case. More than half of Dar looks like this image below and that's why we refer to thse shanties as your dreamhouses coz these are the type of houses that majoritybof dar residents live in (the so called dreamhouses) including many of you who make noise in here
View attachment 1794873
Maeneo yote unayoyaona yako ivyo ni yale makazi ya zaman kabisa ya jiji infact mji umekua sana kwahyo maeneo mengi yako vizuri tu...uko tunaichia serikali ikitaka kupapima upya wajenge ni wao
 
Mbona zinanikalia za kawaida sana. Hivi Dar kuna estate yoyote unayoweza kulinganisha na Muthaiga, Karen, Runda, Muthangari, Springvalley, Riverside, Kitisuru, Ridgeways, Gigiri ama Lavington?
Pakawaida ndio lakin nyumba ziko kwenye mpangilio na hazifanani...barabara zipo lami na kila kitu kipo...Mbezi beach chini ndio pamenoga zaidi
 
Wamekariri maisha ni kwenye estate na slums pekee...kujenga hawawezani [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pakawaida ndio lakin nyumba ziko kwenye mpangilio na hazifanani...barabara zipo lami na kila kitu kipo...Mbezi beach chini ndio pamenoga zaidi
nyumba kutofanana haimaanishi ni za high quality. Halafu kuna estates zilizokuwa developed na developers na Estates ambazo mtu ananunua pake anajijengea. Zilizofanywa na developers huwa zimefanana. Ila ninachojua, kwa estates za hadhi ya juu Dar iko nyuma sana ya Nairobi maanake hapo Masaki/Oysterbay ndio the highest end neighborhood in Dar yet ukiileta Nairobi hata top 10 haionekani.
 
Nioneshe miji ya kisasa iliyo na dense forest katikati ya mji namna hiyo, ukikosa mana ake Nairobi ni pori [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Maeneo yote unayoyaona yako ivyo ni yale makazi ya zaman kabisa ya jiji infact mji umekua sana kwahyo maeneo mengi yako vizuri tu...uko tunaichia serikali ikitaka kupapima upya wajenge ni wao
Stop lying. Umeleta picha ya Mbezi, one of the top addresses in Dar in terms of affluence. Sasa ukisema maeneo nyingi yanafana Mbezi unajaribu kutulisha uongo ama? Mbezi hapo Dar ni sawa na kusema Runda au Gigiri hapa Nairobi. Picha nyingi za Google zinaonyesha sehemu nyingi za Dar inafanana na ile picha nilileta so what you are saying is a lie
 
nyumba kutofanana haimaanishi ni za high quality. Halafu kuna estates zilizokuwa developed na developers na Estates ambazo mtu ananunua pake anajijengea. Zilizofanywa na developers huwa zimefanana. Ila ninachojua, kwa estates za hadhi ya juu Dar iko nyuma sana ya Nairobi maanake hapo Masaki/Oysterbay ndio the highest end neighborhood in Dar yet ukiileta Nairobi hata top 10 haionekani.
Oooh iyo best yenu ni ipi?Ni runda ama Karen ?
 
Stop lying. Umeleta picha ya Mbezi, one of the top addresses in Dar in terms of affluence. Sasa ukisema maeneo nyingi yanafana Mbezi unajaribu kutulisha uongo ama? Mbezi hapo Dar ni sawa na kusema Runda au Gigiri hapa Nairobi. Picha nyingi za Google zinaonyesha sehemu nyingi za Dar inafanana na ile picha nilileta so what you are saying is a lie
Kwahyo wewe ndio unajua sana Au vp...
Maeneo mengi yako hivi...wacha kua mjuaji tulia ujuzwe...do you expect watu million 5 wote wakaishi magomeni,manzese and the likes ambapo kulishajaa nyumba tangu kitambo?
tapatalk_1621631821538.jpeg
 
Huyu ndio yule msee wa computer science wa hko aisee, sasa angalia ulichokiandika maskini..mpka nakuonea huruma mzee, yani sehemu kuwa na metro inatokana na wahusika kubadili jina[emoji849]
Huaga mnafeli wapi majirani jamani, tena mkienda nje ya nchi si mnaibika sana kwa akili hizi
Hebu lete maana ya metropolitan kwnz [emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom