Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nafikiri kuna kitu umemfundisha uyo chokoraa mwenzio mana badala alete CBD iliyo na dense forest yeye analeta residential areas, ss kwa residential areas Dar c ndiyo pake km tutaongelea green spaces.
Green spaces in Dar residential areas? 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂. You are taking this joke too far. Kwanza niletee zile za golf courses nilikuitisha.
 
How is Westlands part of Nairobi cbd? You can clearly see cbd and upperhil in the background. Mbona unapenda ubishi hivi?

Back to that picture, tulishakuambia kwamba Nairobi tunazingatia zaidi utunzaji wa gree spaces, just like many other cities around the world. Usiforce tufanane nanyi kijana.
Angalia Johannesburg ilivyo na iko hapa hapa Africa.
View attachment 1795251View attachment 1795252View attachment 1795253View attachment 1795254View attachment 1795255View attachment 1795257View attachment 1795258View attachment 1795259View attachment 1795260

Unaonaje hizo 'Misitu'? Is Dar better than Jo'burg in anything just because Dar doesn't have green spaces but Jo'burg has? Anzeni kupanda miti Dar kijana na muache kelele usiku na mchana. Sitachoka kuwaelimisha
So joburg cbd yao nayo ina dense forest km Nairobi au sio[emoji116][emoji1787][emoji1787]
tapatalk_1595279483870.jpg
 
So joburg cbd yao nayo ina dense forest km Nairobi au sio[emoji116][emoji1787][emoji1787]View attachment 1795273
Hapa mahali umefika unafaa tu kupuuzwa. Unajua Nairobi cbd inaanzia wapi na kuishia wapi? So ni sawa Mimi pia nisema hii yote ni part of Johannesburg cbd just because maghorofa ya cbd yanaonekana kwa mbali?
images(73).jpg

images(72).jpg
 
Hapa mahali umefika unafaa tu kupuuzwa. Unajua Nairobi cbd inaanzia wapi na kuishia wapi? So ni sawa Mimi pia nisema hii yote ni part of Johannesburg cbd just because maghorofa ya cbd yanaonekana kwa mbali?
View attachment 1795274
View attachment 1795276
Actually, I would be glad if Nairobi had a dense forest in the CBD. So beautiful and natural. Atlanta has a forest bordering the CBD and it's gorgeous. In fact the whole city of Atlanta is within a forest

1.jpg
 
View attachment 1795282
Ss mbn mwenzio anakataa kwamba Nairobi ni dense forest kwn aibu ni nn, nyie kubalini kwamba mna mji mdogo wenye pori na majengo machache zen muanze kupambana kutoa hyo forest katikati ya mji mjenge majengo, hizo green spaces ziwepo ila co msitu.
 
MY TAKE
Kwann serikali (TAMISEMI) isiruhusu kuwe na UDART wengi hata wawili au watatu? Kama miundombinu ya mwendokasi ipo chini ya DART monopply ya nn!? Au basi UDART menegement iondolewe?
 
Ss mbn mwenzio anakataa kwamba Nairobi ni dense forest kwn aibu ni nn, nyie kubalini kwamba mna mji mdogo wenye pori na majengo machache zen muanze kupambana kutoa hyo forest katikati ya mji mjenge majengo, hizo green spaces ziwepo ila co msitu.
Alafu tufanane nanyi? 😂 😂 😂 😂 😂
Screenshot_20210515-100741.png
Screenshot_20210515-100611~2.png
Screenshot_20210515-100318~2.png
Screenshot_20210515-100844~2.png
Screenshot_20210515-100338~2.png

Screenshot_20210515-100611~2.png
 
Actually, I would be glad if Nairobi had a dense forest in the CBD. So beautiful and natural. Atlanta has a forest bordering the CBD and it's gorgeous. In fact the whole city of Atlanta is within a forest

View attachment 1795282
This fool is just living I'm denial. Moto inakubali lakini ulimi inakataa. Si unaona jinsi anatapatapa?
 
Hiyo Ni Runda mzae. Nenda hata South Africa Johannesburg utagundua mfumo ni huo huo in affluent neighborhoods. Utazunguka Tanzania nzima huwezi pata mtaa kama Runda, achana mbali na ile Masaki iliyojaa apartments
Appartments[emoji1787][emoji1787]
 
Appartments[emoji1787][emoji1787]
That's how funny they are. Wanashabikia picha za Masaki that is 80% apartments ila sisi tukipist apartments za Eastland and many other places wanasema ni dormitories. Wanasahau hizo dormitories zimejaa mtaa wao wa kifahari kuliko zote
 
Tataizo wanapost masaki kila siku alafu sisi tukipost eastates za kawaida wanasema eti kila siku zile zile nkm mara yao masaki wanaipost ikiwa na mabadiliko
 
Alafu tukija tena katika idadi ya wealthy suburbs tumewabaka aisee, middle class areas tumewalawiti nyumba za wakenya wa kawaida mashinani tumewaua kabisa..

Si nyie wenyewe wanapopost akina tanga mnajionea uswazi tu, yani nchi nzima tz wananchi wa kawaida hawana zaidi ya dream house
 
Ss mbn mwenzio anakataa kwamba Nairobi ni dense forest kwn aibu ni nn, nyie kubalini kwamba mna mji mdogo wenye pori na majengo machache zen muanze kupambana kutoa hyo forest katikati ya mji mjenge majengo, hizo green spaces ziwepo ila co msitu.
Hutaki tena[emoji1787][emoji1787]yani hujielewi km unapinga au unaunga..si ajabu hapo ulipo hujijui k we ni wa jinsia gani[emoji1787][emoji1787]
 
Alafu tukija tena katika idadi ya wealthy suburbs tumewabaka aisee, middle class areas tumewalawiti nyumba za wakenya wa kawaida mashinani tumewaua kabisa..

Si nyie wenyewe wanapopost akina tanga mnajionea uswazi tu, yani nchi nzima tz wananchi wa kawaida hawana zaidi ya dream house
Dar is a very pathetic city which should be compared to mombasa.
 
Kwa wale wanaoichukia Kenya itabidi mjinyonge tu maana maendeleo yanazidi kufanyika huku. Sasa tunajitayarisha kuzindua nyaya za umeme kutoka Kenya hadi Ethiopia. Wenye wivu wajinyonge

Back
Top Bottom