The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Kwahiyo unavyodhani wilaya ndio inatoa mbunge, we kweli fala [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dar bado sana mazee[emoji1787][emoji1787]
Nairobi imegawanyika mara 17 nyie wapuuzi, yani kiufupi nairobi county ina wabunge takriban 17..
Watueee, kujeni huku muone vile kwnm umaskini dar umetapakaa..mji watu milioni 7 una wilaya tano pekee[emoji1787][emoji1787]
Ikiwa mombasa tu zipo sita