Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hii ndo inafanya SGR kuwachelewa ikifike kituo cha Dar mwezi November?.. nasikia Kadogosa kasema Pugu wataanza August ila kule kituoni 0km wataanza November.. anasema design ya zile nguzo mbili zimewasumbua.. sasa sijui inarelate na hii bridge

Nimeskia rumors za ajabu about that place sitaki kuamimi kama ndo zinachelewesha
 
Wakenya

Kwanza mnatakiwa kujua Dar es salaam imegawanywa katika wilaya 5:-
1. Ilala
2. Kinondoni
3. Temeke
4. Ubungo
5. Kigamboni.

Wilaya zimegawanywa katika Kata.
Kata zimegawanywa katika mitaa.
Sasa nitaanza wilaya kwa wilaya ili mkome.
Dar bado sana mazee
Nairobi imegawanyika mara 17 nyie wapuuzi, yani kiufupi nairobi county ina wabunge takriban 17..

Watueee, kujeni huku muone vile kwnm umaskini dar umetapakaa..mji watu milioni 7 una wilaya tano pekee

Ikiwa mombasa tu zipo sita
 
After landing to Kilimanjaro,,then Mombasa is next😋
Screenshot_20210523-001101.png
 
Ziko wapi? Kwn unapoambiwa county unalewa nini
Alafu nataka hzo ambulance na chapa zake
County ni tofauti na Kata(ward)..huku bongo tunaanza na
Country>regions>districts>wards>streets..mfano..country (Tanzania)>region(Dar-es-salaam>district (ilala)>ward(vingunguti)>street(miembeni)
Kwa hiyo kata ni vingunguti,na hiyo hapo chini ni ambulance yake
Kwa hiyo county ni kama region,si kama ward,ndo maana jamaa kashangaa
images.jpeg
 
Back
Top Bottom