Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The kind of houses that hide under those leafy areas that they ignorantly call forest Dar can only dream to have
Which one ??🤣🤣🤣
Hebu nioneshe majumba ya kifakhari yanayomilikiwa na matajiri Nairobi ambayo wamejenga wao wenyewe kwa ndoto zao alaf nikufundishe kitu
 
Part of kinondoni
E89C186F-0B80-40DD-9192-1EA693C5EDF9.jpeg
 
Yaani wee jamaa kilaza wa aina gani!? Hata kama unawehu!? Sasa una compare nini!? County na Metropolitan area!? Tuseme we hujaenda shule ama tu walivyosema, unaconfirm tu kwamba watanzania ni vilaza 99%?
Achana naye mzee huyo, jamaa kaamua kujitia utahira iki tu avuruge mada..yani analazimisha metro ifanane na county mazee..
Mpuuze tu
 
Pamoja na kubadili majina Nairobi population ni 4m [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
View attachment 1794807
Huyu ndio yule msee wa computer science wa hko aisee, sasa angalia ulichokiandika maskini..mpka nakuonea huruma mzee, yani sehemu kuwa na metro inatokana na wahusika kubadili jina[emoji849]
Huaga mnafeli wapi majirani jamani, tena mkienda nje ya nchi si mnaibika sana kwa akili hizi
 
Hii picha hua inakamilisha karibu kila kitu asante bro🤣🤣🤣 mukiwmbiwa nairobi nusu ni msitu munaanza kusingizia green spaces hamutaki kusema ukweli kua ardhi zote zishachukuliwa na wakubwa au munaona aibu 😅😅😅😅😅😅

View attachment 1794832
Don't act stupid just because you don't know a thing or two about photography. Don't you know it's possible to capture images that are even 100kms away kwa picha? Hizo sehemu tatu zote ziko Nairobi and they are separated by just a few kilometers sasa unataka picha ikipigwa zisionekane? How do you even reason?
This is Mt. Kenya seen from Nairobi
EWGK-dIUMAI9z0p.jpeg
EWGK9i3U0AEO-dH.jpeg


This is Abadare Ranges also seen from Nairobi
EVvjRUwXYAEoAab.jpeg


And then we also have Kilimanjaro seen from Nairobi as well
EVvjQL6WoAI6Xyk.jpeg


Does it mean that hizi maeneo tatu zipo karibu sana na Nairobi ndio maana zinaonekana kwa picha zilizopigw upande wa Nairobi? Huwezikuwa mbishi na mhinga January to December. It doesn't help in anything
 
Hii picha hua inakamilisha karibu kila kitu asante bro🤣🤣🤣 mukiwmbiwa nairobi nusu ni msitu munaanza kusingizia green spaces hamutaki kusema ukweli kua ardhi zote zishachukuliwa na wakubwa au munaona aibu 😅😅😅😅😅😅

View attachment 1794832
Unataka Nairobi pafanane hivi ndio tuwe sawa nanyi?
Screenshot_20210515-100453~2.png
 
Is it Kajiado au Nairobi? 😅😅😅

Kajiado unaijua wewe? 😂😂😂


View attachment 1794843



Kajiado ni hii hapa Buda 😅😅😅
Got turkana vibes

View attachment 1794844


Watanzania Muwe macho sana, hapa unapakiwa kwenye kapu bila kujua 😅😅😅
Sasa wewe uko Gongo la mboto na unajifanya unajua Nairobi kuliko wenyeji. Picha alizoleta ni za Rongai, which is only a few kilometers from the famous Karen estate. Kwa ufupi ni kwamba Rongai iko Kajiado county. Rongai is not kajiado and Kajiado is not Rongai. Kajiado town iko mbali sana na Nairobi cbd on your way to Namanga border
 
Huku bunge ni moja tu hakuna eneo linaitwa bunge hakuna na hutalipata mpka dunia inasmama[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dar inawakilishwa na wabunge watano bungeni, nyie kweli hamjielewi ndio manake umaskini umekithiri tanzania..
Mji wa watu milioni saba una wilaya tano tu yani imeshindwa mpka na mombasa ambapo kw sasa ina wilaya sita
 
Ndio maana tunasema kanairobi ni finyu sana, hakawezi kabisa kukidhi mahitaji, nje kidogo tu one step umeshakiacha miles away 😅😅😅

2030 Nairobi itakua one street na hii ni sababu mnazaliana kama panya na Kenya nzima Nairobi ndio last hope, ndio ulaya yenu hiyo 😅😅😅
Nairobi ilikuwa hadi Ulaya ya watanzania enzi za Nyerere hadi leo wa leo mwebdo ni huo huo 😂 😂
 
Ndio maana tunasema kanairobi ni finyu sana, hakawezi kabisa kukidhi mahitaji, nje kidogo tu one step umeshakiacha miles away [emoji28][emoji28][emoji28]

2030 Nairobi itakua one street na hii ni sababu mnazaliana kama panya na Kenya nzima Nairobi ndio last hope, ndio ulaya yenu hiyo [emoji28][emoji28][emoji28]
Kisa dar haina metro sio[emoji1787][emoji1787]pole sana. Nyie levels zenu bujumbura
 
Sasa wewe uko Gongo la mboto na unajifanya unajua Nairobi kuliko wenyeji. Picha alizoleta ni za Rongai, which is only a few kilometers from the famous Karen estate. Kwa ufupi ni kwamba Rongai iko Kajiado county. Rongai is not kajiado and Kajiado is not Rongai. Kajiado town iko mbali sana na Nairobi cbd on your way to Namanga border
Zuka hilo achana nalo[emoji1787][emoji1787]ni sawa na kusema naivasha ni nakuru eti kisa ipo nakuru county..
 
Back
Top Bottom