Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar bado sana mazee[emoji1787][emoji1787]
Nairobi imegawanyika mara 17 nyie wapuuzi, yani kiufupi nairobi county ina wabunge takriban 17..

Watueee, kujeni huku muone vile kwnm umaskini dar umetapakaa..mji watu milioni 7 una wilaya tano pekee[emoji1787][emoji1787]

Ikiwa mombasa tu zipo sita
Imejengeka juu ya misitu au🤣🤣🤣
Ikiwa 696km sq ukitoa nairobi national park 200km sq unabaki na ngapi ukitoa misitu inabaki ngapi ??? 😄😄😄 akili haikai kwenye kipumulio

dar imejengeka na nikubwa mara tatu ya nairobi ulie usilie haitabadilisha 😅😅😅
 
Zile kelele zote kumbe dar ina maeneo bunge matano tu usione zile kelele zote[emoji1787][emoji1787]
Alafu anatokea mtu eti anakuja kuilinganisha na nairobi
Huku bunge ni moja tu hakuna eneo linaitwa bunge hakuna na hutalipata mpka dunia inasmama🤣🤣🤣🤣
 
County ni tofauti na Kata(ward)..huku bongo tunaanza na
Country>regions>districts>wards>streets..mfano..country (Tanzania)>region(Dar-es-salaam>district (ilala)>ward(vingunguti)>street(miembeni)
Kwa hiyo kata ni vingunguti,na hiyo hapo chini ni ambulance yake
Kwa hiyo county ni kama region,si kama ward,ndo maana jamaa kashangaa
View attachment 1794488
Huyo kubishana nae bora umfundishe mbuzi kuvuka barabara 🤣🤣🤣🤣
 
Hebu tufanye hesabu rahisi tu 👇👇😁
Dar city is 1690km sq tukumbuke dar hakuna national parks bali kuna marine reserves 😅😅😅😅😅

Nairobi is 696km

Haya tuanze kwa pamoja 696km sq minus 117km sq nairobi national park = 579km sq

Hapo hatujatoa misitu isiohesabika ni over 150km sq


tukitoa tena tunapata 429km sq ambayo ni sawa na kinondoni district alone 🤣🤣🤣

49C2F892-A5E8-4B56-8345-4F86B96978E5.jpeg

310A1A5E-3429-49A7-A41B-2A8E0FFCB8EE.jpeg
 
Baada ya kupoteza 14b ksh taxpayers money ila wanasiasa bana 🤣🤣🤣👇👇👇
 
Baada ya kupoteza 14b ksh taxpayers money ila wanasiasa bana 🤣🤣🤣👇👇👇

I doubt that amount of money was used, too much.
Anyway with politics you can't be too sure. They are intending to appeal directly to Supreme Court vide section 17 of the Supreme Court Act
 
I doubt that amount of money was used, too much.
Anyway with politics you can't be too sure. They are intending to appeal directly to Supreme Court vide section 17 of the Supreme Court Act
🤣🤣🤣🤣🤣
 
County ni tofauti na Kata(ward)..huku bongo tunaanza na
Country>regions>districts>wards>streets..mfano..country (Tanzania)>region(Dar-es-salaam>district (ilala)>ward(vingunguti)>street(miembeni)
Kwa hiyo kata ni vingunguti,na hiyo hapo chini ni ambulance yake
Kwa hiyo county ni kama region,si kama ward,ndo maana jamaa kashangaa
View attachment 1794488
Ambulance zote hku sisi zinachapa za county, alafu kw chini kidogo mlangoni ndio unaandikiwa ward..sijui counties zingine manake kila watu na mfumo wao.
 

Tanzania waives import duty for leather processing machines​

By
XINHUA
-
7 hours ago

The government of Tanzania on Saturday announced that it had waived import duty for leather processing machines to attract more investments in the leather industry.

Kitila Mkumbo, the Minister for Industry and Trade, told parliament, in the capital Dodoma, that the government has also waived import duty for materials used in processing leather.

“The waiver of the import duty is among efforts by the government aimed at encouraging local processing of leather products in the country,” Mkumbo told the House when he tabled his ministry’s budget proposals for the 2021/2022 financial year.

He said his ministry has started implementing a project aimed at training 419 livestock keepers in three districts of Arusha region on how to add value on hides and skins.

Mkumbo said the project is being undertaken by the state-run Tanzania Industrial Research and Development Organization and financed by the Tanzania Commission for Science and Technology.

According to the Ministry of Livestock and Fisheries, Tanzania currently has 33.4 million head of cattle, 21.29 million goats and 5.65 million sheep.

 
Back
Top Bottom