NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,044
- 19,239
Kwa maoni yangu niOooh iyo best yenu ni ipi?Ni runda ama Karen ?
1. Muthaiga
2. Karen
3. Gigiri
4. Springvalley
5. Kitusuru
Kwa maoni yangu niOooh iyo best yenu ni ipi?Ni runda ama Karen ?
Ni kama kuchukua Kileleshwa as representative of Nairobi. 🤣 🤣 🤣Stop lying. Umeleta picha ya Mbezi, one of the top addresses in Dar in terms of affluence. Sasa ukisema maeneo nyingi yanafana Mbezi unajaribu kutulisha uongo ama? Mbezi hapo Dar ni sawa na kusema Runda au Gigiri hapa Nairobi. Picha nyingi za Google zinaonyesha sehemu nyingi za Dar inafanana na ile picha nilileta so what you are saying is a lie
Sasa bro embu walau weka picha za hayo maeneo kuna jambo nahitaji kuliprove kwanzaKwa maoni yangu ni
1. Muthaiga
2. Karen
3. Gigiri
Hilo apo jimama la kukurupuka c nilisema mm [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dar inawakilishwa na wabunge watano bungeni, nyie kweli hamjielewi ndio manake umaskini umekithiri tanzania..
Mji wa watu milioni saba una wilaya tano tu yani imeshindwa mpka na mombasa ambapo kw sasa ina wilaya sita
Hiyo Victoria iko wapi kama si Bagamoyo road? Na kijitonyama iko wapi kama sio Bagamoyo road?
Maeneo mengi ila sii yote. Halafu hapa pakiletwa Nairobi hata top 50 hapafiki. Hata Syokimau hapafikii.Kwahyo wewe ndio unajua sana Au vp...
Maeneo mengi yako hivi...wacha kua mjuaji tulia ujuzwe...do you expect watu million 5 wote wakaishi magomeni,manzese and the likes ambapo kulishajaa nyumba tangu kitambo?View attachment 1794890
Izo ndio nyumba zinajengwa hapa mjn kwa sasa...bungalow na wenye uwezo ghorofa moja nkuendelea...vitu vinachange daily nyie endeleen kukomaa na magomeni manzese mkidhani mji umedumaaMaeneo mengi ila sii yote. Halafu hapa pakiletwa Nairobi hata top 50 hapafiki. Hata Syokimau hapafikii.
Masaki inakaa maeneo ya mama ngina mombasaOooh iyo best yenu ni ipi?Ni runda ama Karen ?
Bagamoyo road inaanzia morocco...kutoka Morocco hadi Bunju sio chini ya 20km hvHiyo Victoria iko wapi kama si Bagamoyo road? Na kijitonyama iko wapi kama sio Bagamoyo road?
Sifundishi vilaza mie[emoji1787]Hebu lete maana ya metropolitan kwnz [emoji3][emoji3]
Wekeni picha Za muthaiga /karen wacha porojoMasaki inakaa maeneo ya mama ngina mombasa
Kwangu mimi naona kitusuru hatari mzeeKwa maoni yangu ni
1. Muthaiga
2. Karen
3. Gigiri
4. Springvalley
5. Kitusuru
Umeisahau Ukonga [emoji116][emoji116]Taarifa hii imfike
Ilala
Segerea
Ubungo
Kinondoni
Ilala
Mbagala
Temeke
Kigamboni
Kibamba
Kawe
[emoji1787][emoji1787] daah,,,kazi ya mamaa...
ila anayemcontrol ni meingine kabisa
hii ni shida kubwa,bora miaka 4 iishe chapView attachment 1794705
Njoo uoinge kwa hoja km dar ina zaidi ya wabunge wabunge watanoHilo apo jimama la kukurupuka c nilisema mm [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Weka picha kutoka juu tuone...maneno matupu hayatoshiKwangu mimi naona kitusuru hatari mzee
Hayo maeneo ukienda ground yanakaa hivi, so usije fananisha na Kenya [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787]Dar nzima ingekuwa inafanana hivyo hiyo kelele yenu ya dreamhouses ingesikika. Unfortunately, that's not the case. More than half of Dar looks like this image below and that's why we refer to thse shanties as your dreamhouses coz these are the type of houses that majoritybof dar residents live in (the so called dreamhouses) including many of you who make noise in here
View attachment 1794873
And have we forgotten that Mbezi you posted is one of the affluent neighborhooslds in Dar? One of the areas where the rich live? [emoji23] [emoji23] [emoji23] The equivalent of Rundas, Lower Kabetes, Gigiris and Kyunas of Nairobi?
MuthaigaSasa bro embu walau weka picha za hayo maeneo kuna jambo nahitaji kuliprove kwanza