ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Electric cars kufika africa weka miaka 200 mbele sio leo wala kesho 🤣🤣🤣🤣In 10 years mafuta itakua imepungua bei sana due to modern ways and emerging of electric cars and motors
Electric cars kufika africa weka miaka 200 mbele sio leo wala kesho 🤣🤣🤣🤣In 10 years mafuta itakua imepungua bei sana due to modern ways and emerging of electric cars and motors
Alaf ikawaje hebu tupe stori 😄😄😄😄😄Yao boda boda operators, kama chama chao vile.
Ww ukiwa mwalimu wangu basi mm nikichaa 🤣🤣🤣🤣 dream ya kumiliki ardhi na nyumba kwa asilimia 85% ya wakenya wanaoishi nairobi ni ndoto haitakuja kua kweli labda dunia iumbwe tena, weka akilini itakusaidia hioichoboy01 uko tayari kwa somo la leo😂😂😂
Fuel sio leo wala kesho kutoka kwenye soko labda 200yrs to comeUzuri tuko na the largest deposits za nickel na ghaphite na izo rare earth minerals zingine kwaiyo tuta mitigate if that happens
Hii ndoto ipo toka arap moi 🤣🤣🤣 40yrs ago wala mm hua sishangai kabisa asante kwa matuamini ubarikiwe😀😀😀
Kwao ilibakia white elephant 🤣🤣🤣🤣
Kwan hii ndoto ni yaleo?? Si ilikuwepo miaka 40 au ???🤣🤣🤣🤣 nimesahau ww ulikua hujazaliwa asante kwa render asante kwa matumainiHayawi hayawi huwa🙏🙏 finally this mighty bridge dream is coming to be reality
View attachment 1792191View attachment 1792192
Wacha hasira mzee 🤣🤣🤣😂😂😂Juakali highway,,
Another Expressway on the making.
Nairobi-Naivasha-Nakuru-Mau summit 175km😍😍😍#uhurunakazi
N/B Nakuru town will have an overpass (4km) through the CBD
View attachment 1792237
Taya pako hovyo na yakitolewa je, si patakaa kimagumashi
Kwn CAG mwenyewe anasemajeKwamba upigaji ulikithiri huku ndio ikiwa awamu iliyofanya makubwa kuliko awamu zote zilizopita au nakosea? Eti miss komora nasema uongooo![]()
