ichoboy01 njoo hapa nikufunze umuhimu wa SACCO na vile inabadilisha Maisha ya watu wa kiwango cha chini siku nyingine usiletee Tanzania aibu, kwani wewe ndio msomi mkubwa hapa😂😂.,
Watani ubabe, kiburi na wivu wekeni kando leo, jifunzeni kutoka Kenya., Mifano ya vile SACCO inafanya watu wajijenge., Harambee spirit. Ndio maana Kenyan towns have relatively developed residential estates despite the negatives., Hapa ni mfano wa wale watubwa kipati chavchini sana, boda boda operators, bado Kuna sacco za walimu, stima, Wanarangi, matatu, etc., Ndio maana pia Nairobi Kuna many estates and still mashrooming., zimefanya mji ukakua metro kwa vile yalivuka mipaka ma kumwagika kwa county majirani.,
Haya ni examples outside Nairobi;
NAKURU;
View attachment 1790330
View attachment 1790331View attachment 1790332
View attachment 1790341
In NANYUKI town.,
View attachment 1790339View attachment 1790338
View attachment 1790340
View attachment 1790343
KITENGELA boda boda kitemoto sacco
View attachment 1790347
Haya ni mifano tu ya low income groups., ndio maana mnalia lia kila mara eti Kenya ni uchumi wa kwenye makaratasi, bidii iko kwa raiya zaidi kuliko serikali.,
In Nairobi Eastlands most of the gated estates ni za SACCO za different working class groups, wanakuja pamoja na kujenga kama areas za Donholm; Harambee sacco housing units(google ujionee)., Greenspan, Jacaranda, etc