Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mwanzoni waliweka mabati nafikiri wamejenga kwa cku chache sn mana juzi tu makamu wa rais ameenda kutembelea kulikuwa kumezungushwa mabati, kiukweli wamezingua kujenga jumba km kanisa. Au labda hapo ni ibadani co kaburi.
 
Maskini asiyejua umuhimu wa units na nyumba za chini[emoji23][emoji23]
Jiulize kwnn new york ina watu wengi kuliko dar wakati dar ni kubwa..

Units ndio zinabeba watu wengi kuliko uswazi, rudi shule jomba
Kenya kuzaana jadi yenu, nchi yenu inaingia zaidi ya mara mbili kwa yetu lkn raia tumewapita only 5mil[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mwanzoni waliweka mabati nafikiri wamejenga kwa cku chache sn mana juzi tu makamu wa rais ameenda kutembelea kulikuwa kumezungushwa mabati, kiukweli wamezingua kujenga jumba km kanisa. Au labda hapo ni ibadani co kaburi.
Mi sijui aisee ila design za makaburi zipo wangeenda hata makumbusho pale wakaona! Labda ndo familia imeona ndo kumuenzi Rais wa nchi vyema!
 
Oneni swazi huu mchafuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚eti affordable houses
 
Kenya kuzaana jadi yenu, nchi yenu inaingia zaidi ya mara mbili kwa yetu lkn raia tumewapita only 5mil[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naona unawasuta watanzania[emoji23][emoji23]
Kutoka uhuru mpka sasa mmezaliana hata ni hatari[emoji23][emoji23]
 
Hata makanisa pia wana sacco's zao, wakulima pia vile vile[emoji23][emoji23][emoji23]
Mbna unaumia mzee baba, kwnya shule zingine zinajengwa mpka na wananchi(harambee) we si umesema unaijua kenya hivi tena imekuaje
 
Hapa umechemka[emoji23][emoji23]
Lenya watu wana majumba aisee yani hzo pumba ndizo ulizolishwa hko vijiweni
 
Ndio manake sai rais na mwenzake raila wameleta BBI ili iweke mambo sawa, haiwezekani pesa zitolewe kw ahadi na wakati kuna mbinu nyingi sana moja ni hyo ya kutunga sheria ya kupeleka mpunga wa mana mashinani
Mbona imeishia njiani sasa 🀣🀣🀣 na zile 14b ksh zikwapi zimeliwa na wajanja
 
Hapa umechemka[emoji23][emoji23]
Lenya watu wana majumba aisee yani hzo pumba ndizo ulizolishwa hko vijiweni
Wana majumba yakwapi??? Ww unaniona mm wakuja ama ?? 🀣🀣🀣🀣
 
Umelishwa pumba kijiweni[emoji23][emoji23]
Mkenya km anauza ardhi huangalia pesa kwanza mkikuyu bora ufikie bei tu[emoji23][emoji23]
 
Ni watanzania wanazinunua.
Hata hizi hapa ni watanzania wanazinunua
 
Hata makanisa pia wana sacco's zao, wakulima pia vile vile[emoji23][emoji23][emoji23]
Mbna unaumia mzee baba, kwnya shule zingine zinajengwa mpka na wananchi(harambee) we si umesema unaijua kenya hivi tena imekuaje
Kua na sacco sio shida hakuna sacco inafanya kazi ya kanisa kwamba inagawa vitu bure hata matatu zina sacco ila hawagawi matatu bure 🀣🀣🀣🀣 tatizo investment ikifanyika inatakiwa return irudi sasa wakununua nyumba wako wapi hao munaowaita middle class 🀣🀣🀣 kwenu middle class ni yule anaweza lipa rent ya bedsitter
 
Bwahaha!!umehamisha goli tena[emoji23][emoji23]
Wakenya wanamiliki majumba yani heri ukatulia hvo hvo jamani..
 
Huku ndo ukunyani kwenyewe sasa hawa ndo wanawapikia wale wa Karen na all those posh areas! Unakuta mtu hana choo halafu anaenda lisha wale wa Muthaiga na Kileleshwa! Ndo maana Kipinduapindua hakiishi Nairobi! Feudalism in 21st Century.
 
Ni watanzania wanazinunua.
Hata hizi hapa ni watanzania wanazinunua
View attachment 1789851



Nani ana 14m ksh nani ni middle gani kenya ana pesa ya kulipia nyumba na kununua kwa mshahara gani kwa maisha gani πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡ na wewe mwenyewe umesema kununua ardhi nairobi sio sh mbili



nilikwambia πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…