Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sio kazi yangu kutafuta, ila nitakwambia nini chakufanya kwanza ondoa rushwa, ondoa ukiritimba,ondoa vishoka, jenga miondombinu wezeshi na ya uhakika alaf utawaona hao waekezaji wakija bila kuitwa
Vishoka nayo kazi , kuondoka rushwa kunaanza na wewe , halafu mwekezaji hatakiwi kutokea nje bali ni fursa za watu wa ndani kuwekeza kama wewe hujaiona hiyo fursa basi usilalamikie wengine, tembea uone watu wanavyowekeza na wala hawana ukiritimba kama wewe. Hivi unajua Tanzania ndo Ina exports nyingi za manufactured goods kuliko nchi yoyote ya east Africa?
Kipimo Cha uwekezaji ni exports sio maneno ya au showoff za mtaan
 
You do realize there is a higher number of uncircumcised men in Tanzania than in Kenya don't you? Not like it means anything - circumcision doesn't add any value to your body but the irony.
Humu ndani tu kuna magovi ya kikenya kadhaa 😂😂😂 Tz mtu ambae hajatahiriwa labda ni mtoto mdogo. Kwanza ni jambo la aibu sana kutotahiriwa hapa Bongo. Na unajua kwanini unatetea ni kwasababu huenda na wewe ni mkono wa sweta. Umri umekutupa mkono halafu una govi. 😂😂😂
 
84 Km ndio unaiita 144 km stop lying to yourself.
Do you guys know how to use Google Maps?
Screenshot 2026-10-27 110801.png
 
Back
Top Bottom