Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii wacha niiwache hapa.



That GDP is about to be injected with over $30 bln of LNG (not to forget not less than $5 bln of gas related industries) aside $3.5 bln of EACOP pipeline and oil terminal at Chongoleani while all ports r being expanded aside the fact Bagamoyo port is slowly coming back and not to forget massive ports in Zanzibar! Come and speak again in 3 years!
 
Hiyo ni ilala,bati tu hizo zinawatisha,hapo bei ya nyumba inaanzia usd elfu 70,msilinganishe kabisa na ule uchafu wenu
Kama hivyo vibanda ni USD 70,000 basi Tanzania muna shida. Nyumba za USD 120,000 ndio hizi hapa Kenya.

1.jpg



With USD 30,000 utapata hapa nyumba.
2.jpg
1.jpg
 
Nimecheka pale makampuni zaidi ya 500 kutoka Kenya kuunvest only $1.7bn yn ukifanya average ya kila moja imeinvest kiasi gani ndio utajua hizo kampuni 500 ni km za washona viatu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Waruhusu wawekezaji from Tz waende Kenya alafu muone kwnn Tz tuna millionaires wengi EA[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kòampuni 30 kw value gani..
Za kenya kw moja moja ina value ya kitu $3m tupe za bong[emoji23][emoji23]
$3m=ksh300m in tsh kitu bilioni 6 km sijakosea, yani hapo kwa kampuni moja moja..nasubiria breakdown ya haraka haraka kw huko kwenu km nilivyofanya mie
Screenshot_20210507-124116_Calculator.jpg
 
Naona hadi umeweka Morocco barabara ya CBD, ila bado hapo hakuna barabara unayoweza kulinganisha na Outering road.

Hassan Mwinyi Road


View attachment 1776260

Outering road

View attachment 1776262

morocco tokea lin ipo cbd?

afu naona unabadilisha tu maswal.. kubali kwanza swali lako limejibiwa kwa barabara zaid ya tano.. nyongeza ni sam nujoma road

wakuu.. ile barabara mpya ya coco beach tuiweke au tumwache jamaa apate lunch kwanza
 
H
2.5b USD


wafanye namna waweke kituo arusha/tanga ili wapeleke gas majumban au viwandan hasa tanga

Huu ni upuuzi sasa. Si ilikuwa $1 billion. Sasa imehamia hadi $2.5 billion. Hii ni white elephant na haitajengwa.
 
Kuna mtu sijamuelewa hapa kwenye forum, husema kwamba mzungu akisema kitu ndo hivyo basi??? Akili gani hii??? Kwani mzungu ndiye mungu wake au vipi??? Akasema hapa kuwa mzungu amesema Umoja, Donholm yani Eastlando in Nairobi ni Slum. Sawa iwe ni slum, na kama hapa ni Slum, Dar ita itwa nini??????? Maana hapa pameshinda Dar mara Ishirini.

View attachment 1775793

View attachment 1775794

View attachment 1775795


Kama nadanganya, mtu achukue muda wake akatazame zile video humu za ujenzi wa SGR Dar. Zina aerial views nzuri za kufunga mjadala.
Mbona ghorofa zenu ni ugly sana,not attractive at all,huwa mnajengaje?
 
morocco tokea lin ipo cbd?

afu naona unabadilisha tu maswal.. kubali kwanza swali lako limejibiwa kwa barabara zaid ya tano.. nyongeza ni sam nujoma road

wakuu.. ile barabara mpya ya coco beach tuiweke au tumwache jamaa apate lunch kwanza
zimefikia outering road? Ziko na lane ngapi? Ziko na overpass ngapi? Ziko na interchange ngapi.
 
Tatizo dadamondi huo mfumo ndio lifestyle yake kw sasa, yani ni mwendo wa kukopi tu..
Ndio manake kiba kamlenga aliposema "stop ku copy/paste uone"[emoji23][emoji23]
MEDIOCRE
Lkn zinabamba ile balaa.
🤣🤣🤣
 
Boy@Geza Ulole mimi si muumini wa gdp haswa hizi za Africa....ila kwa kuwa jirani yetu kwa Sasa anatamba na gdp makalatasi......umemjibu vyema...jombaaaa Tony254 si umeona kasi iliyopo uwe unachunguliachungulia.... miaka 3 ni mbali sana.......
 
Boy@Geza Ulole mimi si muumini wa gdp haswa hizi za Africa....ila kwa kuwa jirani yetu kwa Sasa anatamba na gdp makalatasi......umemjibu vyema...jombaaaa Tony254 si umeona kasi iliyopo uwe unachunguliachungulia.... miaka 3 ni mbali sana.......
Tatizo unapinga data kwa mihemko. Pinga data kwa kutumia facts.
 
Back
Top Bottom