ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Ushasema jukwaa la siasa 🤣🤣🤣 unategemea kupata nn mwanasiasa anaeza kukwambia maji yana rangi ya kijani wakat unaona ni meupe 😂😂😂😂It pisses off., But elewa bro, sio wote, hapa wanajaribu kutetea nchi yao, ila wanajua ukweli, hawataki kuonekana wanyonge before mighty Kenya, pitia jukwa yao ya siasa or habari na hoja mchanganyiko, wanakiri ukweli wazi wazi😂.,



