Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,140
- 17,878
Kwa kupiga kelele bila kuwa na uelewa hamba mpinzani.Kwahio mama ngina ndio aliwatia ujinga huo hvi wewe kama kenya ina average ya 40% unemployment rate unategemea middle class gani hao, hzo estate mostly ni investors za mtu mmoja mmoja wakiwemo politicians na wajanja baadhi, leo utaniambia unashindana na tanzania kwenye middle class economy wakat mtanzania kazi anayo opportunities zipo, social services bei nafuu ardhi bei nafuuu na vifaa vya kujenga nyumba bei nafuu east africa yote 😀😀 sasa leo hata tukiangalia umiliki wa ardhi hapo nairobi ni wachache sana na wengi wamuna ndoto ya maisha wala ya kumiliki ardhi kazi iliobakia ni kusongamana kwenye slums over 70%🤣🤣🤣🤣🤣 na kama unabisha sema
Middle-class Kenya imeacha Tanzania by far
Soma hiyo taarifa hapa kama uko na muda na 'bando' pia
Only 12% of your population fall in middle-class category wakati sisi tuko at 49% Wapi na wapi? Hata waganda wenyewe wanawapiga kumbo kwenye middle-class sasa Kenya ndio mtawezana nayo?