Bado unajibizana na mwehu😂😂😅😅, huyo atakwepa kujibu, atalazimisha opinion yake, alishindwa ku zoom na ku google earth exact places I asked, anajua atajiumbua, jamaa mwehu kuruka😂😅., nimeona vi response vyake nimepuuza, hana lolote to argue or debate😂😅😅, arudi level yake ya mapicha, eti Dar baby😂😂😅, ama Mwanza baby 😅😂😂😅, a serious discussion with facts hawezi, atakwepa maswali na viji response uchwara😂😅😅🤣., Dar ukipata sehemu average yenye ni level ya Uthiru kwa raiya wa Kenya wa kawaida nitag upesi nijionee🤣😅😅.,