Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii na kibra hakuna tofauti,,na eti kwao ni middle income estate 🤮🤮😂😂😂
That's the satire. Jana I shared with Ichoboy picha za Uthiru that he constantly calls a slum then one of them responded eti hizo ndio upgrades za slum tulifanya then mabwenyenye wakanyakua. Nilibaki tu nikicheka na kujiuliza upgrades zilifanyika lini Uthiru or whether there was anything to upgrade there. Yani middle income estates zao hazina tofauti na kibich na zile zetu wanaita slums they can't even afford to live in. Unasikia mtu anasema eti Uthiru na Ruai ni slums wakati nyumba ziko kule he can't even afford
 
Wenzetu bado Sana hamna nchi yenye ubaguzi Kama Kenya

Sasa kuelewa nini wakati kitu issue ipo wazi?
Sasa wakikuyu na waturkana wana uhasimu gani
Ikiwa wakikuyu na wajaluo tu wanaoana na ndio mahasimu wakubwa kenya likija swala la siasa itakuja waturkana..
Nyie kweli malofa
 
Sasa wakikuyu na waturkana wana uhasimu gani
Ikiwa wakikuyu na wajaluo tu wanaoana na ndio mahasimu wakubwa kenya likija swala la siasa itakuja waturkana..
Nyie kweli malofa
Nyooo! Malofa ni nyie huko mnao baguana na kusingizia Wana siasa 🙂
 
Hizi nemekutana Nazo FB jamaa Ka post ndan ya Azam ferry 😀😀
FB_IMG_1620783201415.jpg
FB_IMG_1620783197058.jpg
FB_IMG_1620783221690.jpg
FB_IMG_1620783216205.jpg
 
Back
Top Bottom