Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

That's the satire. Jana I shared with Ichoboy picha za Uthiru that he constantly calls a slum then one of them responded eti hizo ndio upgrades za slum tulifanya then mabwenyenye wakanyakua. Nilibaki tu nikicheka na kujiuliza upgrades zilifanyika lini Uthiru or whether there was anything to upgrade there. Yani middle income estates zao hazina tofauti na kibich na zile zetu wanaita slums they can't even afford to live in. Unasikia mtu anasema eti Uthiru na Ruai ni slums wakati nyumba ziko kule he can't even afford
Slum nairobi hazitaisha mpaka yesu ashuke yani unapozungumzia slum ni lazma kenya ifuate kwa mbele kwasababu slum zimejaa kila kona ya kenya na labda unajua kwann slum zinakuwepo kwasababu ardhi nyingi zimeshikwa na wachache sasa wengi wanajikusanya sehemu moja moja wanaishi maisha hata ukimpeleka nguruwe haiwezi kuishi lazma afe 😂😂😂😂😂 au nadanganya
52D607C2-1763-44A3-9F01-35A87A9C1720.png
 
Hawa ni watu wa google na propaganda, wapate Kenya uone vile wanakaukiwa maneno, ni kuzuba zuba tu😅 normal standards of living ya Nairobi, zenye bado ni categorized as slums kwao itakua kwa middle class na matajiri kwa kiasi, hizo nyumba zao za Kiswahili zinasinya sana😅🤣🤣., Dar na Mombasa ni exactly the same look kwa average housing(Swahili houses), ila Mombasa Kuna estates na gated kadhaa., and Mombasa organized residential is growing fast..,
 
🤣🤣🤣👇👇👇👇 pozea machungu hapa kwanza mzungu hawezi kua mjinga hata siku moja kwasababu yuko miaka 300 mbele kuliko wewe boga
35359580-B173-4D05-B79A-4E9874289552.png
 
Slum nairobi hazitaisha mpaka yesu ashuke yani unapozungumzia slum ni lazma kenya ifuate kwa mbele kwasababu slum zimejaa kila kona ya kenya na labda unajua kwann slum zinakuwepo kwasababu ardhi nyingi zimeshikwa na wachache sasa wengi wanajikusanya sehemu moja moja wanaishi maisha hata ukimpeleka nguruwe haiwezi kuishi lazma afe 😂😂😂😂😂 au nadanganya
View attachment 1781818
Ebu zoom out those area, aerial view wide angle, just Google earth kama una kende, not cherry picked pictures na propaganda za abunuasi, uone kama utapata muonekano kama wa 90% low life inavyo onekana Dar yote, Dar ni kama inner city ya Bangladesh., hapa utapingavlakini ni hali ilivyo, narudia tena; hamujikomboi karne hii😅🤣🤣🤣
Alafu in Nairobi guys go to hustle, not necessarily eti wamekosa ardhi., wewe kweli ni kilaza., 🤣🤣😅
 
🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇 Ni kijana gani nairobi anandoto ya kumiliki ardhi ??? Ni kijana gani ?? Hvi wewe unafkiri maisha ya kenya mm siyajui au
D8BC704A-2CAE-4E1A-9DCE-C0ACA6EE1C50.png
 
Ebu zoom out those area, aerial view wide angle, just Google earth kama una kende, not cherry picked pictures na propaganda za abunuasi, uone kama utapata muonekano kama wa 90% low life inavyo onekana Dar yote, Dar ni kama inner city ya Bangladesh., hapa utapingavlakini ni hali ilivyo, narudia tena; hamujikomboi karne hii😅🤣🤣🤣
Alafu in Nairobi guys go to hustle, not necessarily eti wamekosa ardhi., wewe kweli ni kilaza., 🤣🤣😅
Yani mzungu aone dunia nzima slum with over 1000 sattelites asio ya dar pekee au sio 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 uhehhehehehehe acha nicheke tu leo
 
Unateseka hadi unatafuta historia kujiliwaza🤣😅😅😅😅.., si you google earth sahi hizo maeneo umeweka then zoom out closely uone kama utaona kile ume post, na ukipata sahi, right now infront of city hall kuna taka nafunga account, I dare u dogo, just google earth tuone, Niko hapa, propaganda za abunuasi hazinipiti.,😅😅🤣🤣🤣, yani unabakia ovyo siku zote🤣🤣😅😅😅🤣.,
 
Yosef Festo Ardhi nairobi imeshikwa na politicians na matajiri wacahche pamoja na foreign investors alaf mjinga anakwambia ana ndoto ya kumiliki ardhi wakat 40% people are jobless 🤣🤣🤣🤣 hio ndoto labda iwe ya alinacha mzeee ndoto za kihayawani
 
Kiswahili mingi bakisha pwani ama kule kwenu gongo la mboto, zoom tuone, wacha blah blah blah zako za vijiweni🤣🤣🤣😅😅😅., Nilijua utajitia hamnazo., ama hauna 'bando' nikusambazie😜🤣🤣🤣😅
 
Ni zoom tena au bado hujarudhika🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇👇 slum ni kitu chakushangaa nairobi au kenya wakat zipo miaka na miaka eti leo mtu anakanaa wakat kibera hata nyani alieko australia anaijua

CCCF66A2-458F-455D-85BE-A4F67B5C3674.jpeg
 
Kiswahili mingi bakisha pwani ama kule kwenu gongo la mboto, zoom tuone, wacha blah blah blah zako za vijiweni🤣🤣🤣😅😅😅., Nilijua utajitia hamnazo., ama hauna 'bando' nikusambazie😜🤣🤣🤣😅
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 unaogopa sana kiswahili lakini si ndio ukweli na nasema urongooooo sokwe aliezaliwa marekani hio kibera anaijua sasa leo unashangaa nn hapo
 
Yosef Festo Ardhi nairobi imeshikwa na politicians na matajiri wacahche pamoja na foreign investors alaf mjinga anakwambia ana ndoto ya kumiliki ardhi wakat 40% people are jobless 🤣🤣🤣🤣 hio ndoto labda iwe ya alinacha mzeee ndoto za kihayawani
Masikini wa fikra hakombelewi rahisi.,🤣🤣🤣😅😅., itabidi uombewe, umeganda akili😅🤣🤣😅, kwani unemployment inamaanisha mtu hajiwezi ama hana kwao? ama ukoo wa kwao, nyie mmejazana Dar na kuongeza ufukara wa vijijini, ndio maana mumefinyana in those shitty looking houses across Dar., hauna lolote la kuniambia dogo, uko way below in your reasoning 😅🤣🤣🤣😅😅.,

ZOOOOM!!
 
Back
Top Bottom