ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Wao washajua kua wamefeli sasa wanataka kujitekenya kisha wacheke 🤣🤣🤣🤣Ndo zao hizo 🙄🙄👇👇👇View attachment 1781614
Wao washajua kua wamefeli sasa wanataka kujitekenya kisha wacheke 🤣🤣🤣🤣Ndo zao hizo 🙄🙄👇👇👇View attachment 1781614
Na bado kuna 97% hayajaguswa yani tumegusa 3% only 🤣🤣🤣 sasa jiulize maswaliTanzania is the most useless country in the world, na madini yote bado ni maskini wakutupwa, jamani tuwaombee maana walirogwa😁😁
Balala is a kenyan permanent citizenKwa hiyo kwa vile asili yake muarabu sio mkenya?
SGR ya Tanzania imesanifiwa kwenda zaidi ya 160km/hr - Engineer Tadei
[
Sio mwarabu ??? 🤣🤣🤣🤣 Na joho je??Balala is a kenyan permanent citizen
Mna gesi na bado mna refill ghali hvoMmmh bas kwa hali hii uko kwao gas ghali sana na hakuna maskini anaweza kununua gas .. hapa getto kwangu natumia mtungi wa gas Orix 15 kg .. na bei yake kujaza ni 45k t sh .. uko kwao hawa jamaa ni hatari itakua ndio gas ni ghali dunia nzima


Sasa unavyomuona huyu atazaa mwarabu??Sio mwarabu ???Na joho je??
Unawazimu wa kichwa wewe 45000ts ni sawa 2100ksh na hio mtungi wa kg 15 mpaka 16.8 kwenu nyinyi mtungi wa kg 13 ni 2800ksh je ingekua 16kg si mungeambiwa 3400ksh akili kichwani mwako🤣🤣🤣🤣Mna gesi na bado mna refill ghali hvo
Tsh45k mbona bei kubwa sana kw watu km nyie..
Hyo ni ksh2000 na kitu aisee..
Na ukumbuke gesi zipo kampuni tofauti tofauti, sasa mwenzako analeta k-gas na total gas hzo ni ghali na sidhani km kuna mtu wa kipato cha chini anayejielewa atanunua k-gas au total gas..
Huyu ndio baba yake joho?? Au balala??Sasa unavyomuona huyu atazaa mwarabu??View attachment 1781734
Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
Vijisababu hamukusangi. Unafikiri hatuwaju? I have seen so many drone videos za Dar on YouTube sasa sijui wewe unaongea nini. And secondly, who told you that you need drone videos to capture gated communities? Kwani hizi za Nairobi zenye tunapost humu ni za drones? Narudia tena kwamba kwenye sector ya makaazi Dar haina usemi wowote mbele ya Nairobi. I have watched so many drone videos za Dar as well as Google earth images so I know what I am saying. Huko ni dreamhouses kushoto kulia save for a few organized areasHii miradi mzee wangu ipo mingi mno, ipo nchi nzima in case you don't know, na hata hizo gated communities dar zipo za kushato ni vile Mazingira ya kurusha drone DSM ni magumu sana na vlogas wengi wanatumia kuiba ili kuonyesha uzur wa dar, lakini siku nikipata nafasi nitafanya hiyo shughuli mwenyewe na ndio mtakapojua kwamba tulishawapitaga mbali sana,.. nyie kwenye barabara tena barabara za ndani ya Nairobi kidogo ndio mtatuumiza vichwa Ila tofauti na barabara za ndani ya Nairobi hakuna kitu kingine mnaweza kutushinda
Tuletee za bei rahisi basi tucheke 🤣🤣🤣Mna gesi na bado mna refill ghali hvo
Tsh45k mbona bei kubwa sana kw watu km nyie..
Hyo ni ksh2000 na kitu aisee..
Na ukumbuke gesi zipo kampuni tofauti tofauti, sasa mwenzako analeta k-gas na total gas hzo ni ghali na sidhani km kuna mtu wa kipato cha chini anayejielewa atanunua k-gas au total gas..
Joho ni mswahiliSio mwarabu ???Na joho je??
Mpuuzi huyo aiseeSasa unavyomuona huyu atazaa mwarabu??View attachment 1781734
Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app


Huenda hizo rangi ni hovyo. Hizi dreamhouses zenu ziliona rangi lini mara ya mwisho?Kisa Ni affordable houses ndo maana mmepaka rangi hovyo hovyo
Hehehe!!13kg zipo kampuni za gesi kenya wanalipisha chini ya hapoUnawazimu wa kichwa wewe 45000ts ni sawa 2100ksh na hio mtungi wa kg 15 mpaka 16.8 kwenu nyinyi mtungi wa kg 13 ni 2800ksh je ingekua 16kg si mungeambiwa 3400ksh akili kichwani mwako
View attachment 1781735


Bei za gas huenda na sehemu, km momabasa na nairobi ndio hua ziko cheap sana..Tuletee za bei rahisi basi tucheke![]()