Kila wakati nakuambia wewe ni kilaza hausikii🤣😅😅😅, hamjafika bado, pia nyie mko na uharo bado., kwanza za kilofa sana.., kaka kabla ya kurusha jiwe jiangalie, wahenga walisema, muuzaji wa mayai sokoni hawezi kuanzisha fujo.,🤣😅🤣🤣.,
View attachment 1781856
View attachment 1781857
Hizi hapa☝️☝️ zinafika Mombasa pale mwembe tayari ndio stage, gari imechoka na wamefunga magunia na mizigo juu.,
Hizi nazo wewe utasema ni laana? uko ovyo kimawazo, tafuta ukombozi🤣🤣🤣😅😅
View attachment 1781860
View attachment 1781864