Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Balala sio mbajuni jomba, hyo ni muarabu lkn sisi hku hatukulala km nyie we bwege..
Balala angelikua hko basi sai si ajabu angelikua na viwanda kadhaa
Kwa hiyo kwa vile asili yake muarabu sio mkenya?
 
Hizi ndo zile apartment zilijengwa kwa ajili ya watu wa slums..but wanapewa bwanyenyes?
Hivyo ndivyo umeamishwa na sisiemu? 😂 😂
Let's assume that whatever you are saying is true, now can you compare those 'slums' of ours na zile midreamhouses zenu zilizotapakaa kila mahali?

And by the way ulipata picha ya trolleys za maji cbd au bado? 😂 😂
 
Ruaraka Nairobi, more beautiful than any part of Tanzania
View attachment 1781383
Waongeze na hii ya Ngara
2767266_IMG_20210508_145424.png
2767264_IMG_20210508_145505.jpg
 
Wameshonana
Then keep your cool. Afadhali hao wa Ngara wamebana kwa nyuma za maana na mazingira ni afadhali. Not comparable na wa huko kwingine ambako watu wameshonana as you put
 
Sisi tumechoka majibizano haya kula siku we mwehu, sio tukinyamaza unajipa moyo labda itakua hatuna nyumba za hivyo. Zipo mingi tu, n in case you don't know,shirika letu la nyumba la Taifa ni shirika bora Africa Mashariki na kati.. hiyo miradi yote hapo chini imefanywa na shirika la nyumba la Taifa NHCView attachment 1781457View attachment 1781458View attachment 1781459View attachment 1781460View attachment 1781461View attachment 1781462View attachment 1781463View attachment 1781464View attachment 1781465
Sasa hilo povu lote ni la nini? Juzi mkizipost hapa ulisikia nani akipiga kelele? Swala la makaazi mnafaa kukaa kimya ni vile tu sio kila kiwe ni ushindani. Hapo tumeaacha mbali. Cha kushangaza ki kwamba ni nyumba hizo hizo mmoja wenu alishanda akizipost humu tena wewe leo umekuja na hizo hizo!
 
Back
Top Bottom