Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kumbe ilipata ajali[emoji23][emoji23]
Wivu mbaya, sgr ni ya wakenya wala sio ya serekali ya kenya...mizigo km inafika poa na watu wanafanya yao kodi inalipwa wee unaumwa kw lipi haswa..punguza hasira jamani
Mbona mulichapwa viboko na wachina kama yenu sasa 🤣🤣🤣🤣
 
Na wenye 16 lanes waite nn kma hio 8lanes inaitwa super?? [emoji23][emoji23][emoji23] au ndio maana ile ushuzi mliofungua juzi mukaita ultra modern[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] View attachment 1780145View attachment 1780146
Sasa hii ndo nn jamani, failed state ever [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20210510-225441.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi leo hamjapewa donge nono kutoka japan, nchi la bakuli[emoji16][emoji16]
Wamepewa na mjerumani leo wazee wa kuzungusha bakuli la sadaka[emoji23][emoji23]kisha eti wanawaita mabeberu, hawa majamaa wanafiki kweli
FB_IMG_16206768334515949.jpg
 
Back
Top Bottom