Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,910
- 103,771
And that's is Nairobi,,😍😍 si ndyo baba yao
Kausha mbona kama unawenge sana?kila kizuri kiwe kwenu tu?Sasa what is big news here???kweli Tz Ni homosapiens dyo Wana evolve to modern man
,,mtazoe tu msijali
Kwann hawakupost hii ikiambatana na hii
Hapa vp umelidhika?Mimi huwa sipendi ujinga. Hii website ni ya kitoto hata kama ni ya Kenya ni ya kitoto. Watu walioandika ujumbe huo ni wajinga wa mwisho. Wanasema eti kuna Mtanzania mmoja ambaye anamiliki ksh 1 trillion? Huo ni uongo mtupu. Hakuna Mtanzania ambaye anamiliki ksh 1 trillion. Ksh 1 trillion ni sawa na $10 billion. Pengine hesabu ndio imeshinda hawa mang'ombe walioandika ujumbe huo. Mo Dewji anamiliki $1 billion na ukiiconvert into ksh inakuwa ksh 100 billion sio ksh 1 trillion. Narudia tena ujinga ndio sipendi hata kama ni Mkenya anaandika ujinga nitasema tu kwamba ni ujinga. Mo Dewji anamiliki ksh 100 billion sio ksh 1 trillion. Kama watu walianguka somo la hisabati shuleni wakae kando sio kupublish takataka kwenye mitandao. Hio Kenyans.co.ke ni takataka kama hawawezi kuconvert USD into ksh. Huyo Mkenya aliyeandika kwamba Tanzania wana mtu mmoja anayemiliki ksh 1 trillion ni Mkenya mjinga sana huyo asiyejua hesabu. Sipendi discussion za kipuuzi. Halafu Mtanzania mwenyewe Simon anakuja kupost bila kuona mistake iliyofanywa na Kenyans.co.ke. Yaani lazima mimi nikuje kuwaonyesha mahali mistake iliyopo, nyinyi hamuwezi kuiona wenyewe?








Hapa vp safii au niongeze sautiPunguza presha jombaumebugi aisee, tatizo kazi yenu kukopi paste tu wala hamjali ni nini kimeandikwa..uvivu mbaya sana...
Ati in tz kuna jamaa mmoja ana worth ksh1t we unaijua ksh1t kweli ama unabwetuka tu..
Kw afrika labda yule ambaye atajaribu kunusia hyo ksh1t ni dangote wala hakuna kapuku mwngine mwnye uwezo huo





Basi wacha iyo report, pambana na hiiWe unaijua ksh1t au nikuokoteza tu data na kuleta km kawaida..
Mtanzania gani huyo ambae ana worth ksh 1t

















Heri hao wanapigania chakula kitu mhimu kabisa katika maisha ya binadamu, je wale waliokanyagana kw ajili ya mafuta ya upako kw bwana askofu show tusemejeHawa watu au wadudu hawaView attachment 1779987View attachment 1779988View attachment 1779989View attachment 1779990
Sent using Jamii Forums mobile app





Niletee hyo jamaa wa ksh1t
Hyo labda iwe chungu kwenuKwann hawakupost hii ikiambatana na hii
....Au kwavile moja tamu ingine chungu....
Watazoea tuView attachment 1779963
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
TZGDP+UG GDP=KE GDPKwann hawakupost hii ikiambatana na hii
....Au kwavile moja tamu ingine chungu....
Watazoea tuView attachment 1779963
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Mama ngina si hua anakuwasha jamaniSource by who????Mama ngina ndio aliwaambia hvo

au ni machungu ya marehemu ndio ukaamua umuangushie bibi ngina

Kwahiyo watu wanaokanyagana kwa ajili ya Mungu unataka kufananisha na watu wanaokanyagana kwa ajili ya chakula, yn karne hii ya 21 bado unakanyagana kwa ajili ya msosi? Nenda Saudi Arabia kila mwaka watu wanakanyagana kwa ajili ya Allah na co chakula km nyie wakenya, yn Kenya ni Afghanistan iliyochangamkaHeri hao wanapigania chakula kitu mhimu kabisa katika maisha ya binadamu, je wale waliokanyagana kw ajili ya mafuta ya upako kw bwana askofu show tusemeje
Yani watanzania niliamini km
Ni matahira wa kiwango cha lami, na wale waliokanyagana katika msiba wa magu mpka wakafa
Kw ajili ya mtu unakufa kizembe




Hii huitaki au ushaikubali , Tony254 kuja uniambie hii mbn mmeikubali kirahisi namna hiiNiletee hyo jamaa wa ksh1t





