NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,747
- 49,633
Wamepuyanga sana,500 companies kwa usd 1.7 bln!ni kichekesho cha hali ya juu!
Wakati wanasema wanadominate, Wanacontrol Tanzanian Economy [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Wamepuyanga sana,500 companies kwa usd 1.7 bln!ni kichekesho cha hali ya juu!
30 Tanzanian Companies Invest 178 Million USD and create 3000 Jobs in Kenya
530 Kenyan Companies invest 1.7 Billion USD and create 51087 Jobs in Tanzania.
Wadau wa Uchumi hebu Chambueni Hapo tupate Madini. [emoji41]
Angalia hesabu hizi[emoji116][emoji116]30 Tanzanian Companies Invest 178 Million USD and create 3000 Jobs in Kenya
530 Kenyan Companies invest 1.7 Billion USD and create 51087 Jobs in Tanzania.
Wadau wa Uchumi hebu Chambueni Hapo tupate Madini. [emoji41]
Superior everywhere [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Heresay vs facts on ground [emoji2297], you guys need to be studied for realKungekua na Makapuni 530 ya Tz Kenya kwa average ya Mshiko wa hao 30 Companies walio invest , wangekua wameinvest jumla ya 3.14 Billion USD. [emoji23]
almost kama kampuni 300 tu tunawachalaza tena nazaidi ,,,ila hiyo ni mahesabu tu ya juu juu maana sisi huwa hatufungui vikampuni vya uchochoroni...30 Tanzanian Companies Invest 178 Million USD and create 3000 Jobs in Kenya
530 Kenyan Companies invest 1.7 Billion USD and create 51087 Jobs in Tanzania.
Wadau wa Uchumi hebu Chambueni Hapo tupate Madini. [emoji41]
Hehehehee nadhani wameona [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Waseme nn wkt wanachungulia wanasepa, yn wastani wa kampuni zetu ni kwamba kila moja ime invest at least usd 6mil while their ushuzi companies zina average ya only usd3.2 mil investment each, so kuanzia leo huwezi kuwasikia tena wakiongelea ushuzi wa investment abroad, km wanabisha waruhusu wawekezaji wetu waingie kwao kirahisi ili waelewe somo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]huu ukweli, wenyewe hawapendi ujue[emoji23]
au kwan wao wenyewe wanasemaje[emoji41]
wakiruhu washua wao watadrop kiuchùmi live bila chengaWaseme nn wkt wanachungulia wanasepa, yn wastani wa kampuni zetu ni kwamba kila moja ime invest at least usd 6mil while their ushuzi companies zina average ya only usd3.2 mil investment each, so kuanzia leo huwezi kuwasikia tena wakiongelea ushuzi wa investment abroad, km wanabisha waruhusu wawekezaji wetu waingie kwao kirahisi ili waelewe somo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
wakenya ni kunguni tuWakenya passion na huu uzi naona inaondoka kila kukicha, walikuwa hawajui ss wameujua ukweli unaouma [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapiga kiwi viatu...na wauza mahindi ya kuchemsha hakuna? Nahisi ata boda boda hakuna CBD...na yake matoroli ya maji wanayotembeza watu Kule..au CBD Ni wapi?Nionyeshe picha ya muuza miwa Nairobi cbd au vibanda za mama ntilie katikati mwa jiji
[emoji23]Huwa nawaza sana nikitazama bendera ya Kenya
View attachment 1777350
wakenya ni kunguni tu
Pimbi huyo anaropoka tuu hajui kitu achana naeKojoa ulale kwanza