Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,820
- 9,588
Umesema vizuri sana raisi na wasanii wenu ndo wanapewa attention huku, huko kwenu a normal kenyan is very respected.Nani anashobokea mkenya huku wewe mama,nyie ndio mnaishoboka pumbavu ndio maana sio Rais au wasanii wa bongo wakija kenya huko inakua habari kubwa kama sikukuu ya nchi




