Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahahahaha mambo ya aibu haya jamani
Screenshot_20210509-141034.jpg
Screenshot_20210509-141057.jpg
Screenshot_20210509-141123.jpg
Screenshot_20210509-141140.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tutajie matajiri wa5 weusi Kenya, sisi wapo na mmoja wao alikuwa very popular huko kwenu, anaitwa the late Reginald Mengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unataja aliye kaburini Sasa?🤣🤣
Yani Hamna Tajiri Mweusi top 10 hapo Bongo?🤣🤣

Halafu hao Wahindi wenu bado ni either politicians or connected to politicians. Usidhani hatujui hiyo nchi yenu.
 
It is just one of the 53 Tanzanian companies operating in Kenya. Kenya has over 500 companies operating in Tanzania. So is it a lie that we are dominating? Kama unatia shaka, tafuta hotuba ya Mama SSH akihutubia bunge la Kenya - amezungumzia hili swala
Over 500 companies with only $1.7bn huoni aibu? Hizo kampuni ukiacha zile za wazungu na waarabu mfano DTB, au KCB ni ushuzi mtupu na ndiyo maana ya hiyo $1.7bn, simply trash

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Over 500 companies with only $1.7bn huoni aibu? Hizo kampuni ukiacha zile za wazungu na waarabu mfano DTB, au KCB ni ushuzi mtupu na ndiyo maana ya hiyo $1.7bn, simply trash

Sent using Jamii Forums mobile app
Bingolala, just let it sink in your head, then accept and move on. Hizi kelele unapiga hapa won't change anything and won't make more Tanzanian companies to invest in Kenya if they can't compete effectively.
 
Wewe kweli mwehu. Hao ni hawkers ambao hata Dar wanapatikana ndani ya mji. Ama unataka nikiluletee hawkers wa Dar? Hawkers hawana permanent structures kama zile zenu za mama ntilie za TPA. Ndio maana unaona kila siku ni watu wa kufukuzana na askiri wa jiji.

Secondly, hawkers wa Nairobi wanakubaliwa kuingia mjini mida za jioni tu and only on selected roads, mostly Tom Mboya Street and Moi Avenue. Huwezipata hawkers cbd saa saba mchana
 
'Mmetuachia' mlipogundua matajiri wote huko kwenu ni Wahindi na Waarabu, otherwise mngekuwa mshatufungulia mathread. Unadhani hatumjui nyinyi wanafiki.
duuuuhh!!! unafki tena!!! huna hoja mzee,,,

tuna zaidi ya dollar millionaire 10,000/= sasa hapo jiongeze mzee
 
Back
Top Bottom