Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sokoine Drive Park NBC
Dar kama Dar
2017-07-22.jpg
2020-07-11.jpg
2020-07-07.jpg
IMG_0016.jpg
IMG_0013.jpg
 
Mbona link yako inazungumzia TAZARA flyover?
Tunajadili Ubungo interchange halafu wewe unaleta link yenye maelezo ya Tazara flyover

Ni wivu tu.

Tazara, ubungo zote msaada wa mjapan ama unapinga 😁😁 link nyingine hiyo, fellow kenyans hawa jamaa size yao burundi
 
Level yetu while ushapark bag standby Mama Samia atoe go ahead wakunya waje kufanya TZ bila work permit uvuke border
IMG_20210508_203054_6.jpg

Namsubiri sana madha afanye yake nije kutengeza dooh uko bongo, nataka kufungua duka. Naskia mnapenda kushobokea sana wakenya.
 
Tazara, ubungo zote msaada wa mjapan ama unapinga 😁😁 link nyingine hiyo, fellow kenyans hawa jamaa size yao burundi
Sasa mbona bado Link haizungumzii Ubungo flyover 😂😂😂. Link Ina tareh za 2015 😂😂 yani alimradi tu uaminishe watu uongo wako dah we bhana wew
 
Sio wivu bro, that's public money not personal money...unamuongezeaje mtu kwenye nacho a confy while kuna watu huko vijijini wana shida luluki?
Kwa nafasi yake na aliyoifanyia Tanzania mbona kawaida? Mbona JPM alikuwa anazunguruka na mabulungutu akigawa fedha kama njugu uliuliza zinatoka wapi?
 
Bro elewa point yangu....huyu ana uwezo wa kujinunulia gari...and yes JPM alikua anagawa pesa but kwa watu wa hali ya chini sio hawa waliokula keki ya inchi miaka nenda miaka rudi...And ktk wale waliowahi kugawiwa mpunga na JPM hakuna aliewahi kupewa pesa yenye thamani ya hilo gari.
 
Back
Top Bottom