Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,906
- 103,770
Hana hivi unajua benefits za marais Tanzania hata suala la kupewa nyumba ni JPM alilipitisha! Hebu pitia packages za retirement Urais Kenya halafu urudi!Bro elewa point yangu....huyu ana uwezo wa kujinunulia gari...and yes JPM alikua anagawa pesa but kwa watu wa hali ya chini sio hawa waliokula keki ya inchi miaka nenda miaka rudi..


