Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Katoroka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ vipi kariakoo huitaki tena. Just imagine the top estate in lazyland is just a noisy open air flea market,,,😁😁😁😁😁View attachment 1777711View attachment 1777707
Utasubiri miaka 100 mzeeπŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
FE7E1127-A1B0-49F7-9B52-5F0DD34BAA14.jpeg
3FCA3492-570D-43A2-B8FB-584101BF1592.jpeg
 
Wewe uanzishe biashara wewe!!??

Au ndio zile 500 companies only $1.7bn, c mambo ya kihuni haya

Sent using Jamii Forums mobile app
Tupe value ya kampuni zenu
Tuki break kw haraka haraka kila kampuni ina worth $3m kibongo bongo hzo ni bilioni kadhaa..
Sasa na wewe break hivi hvi kati yale makampuni yenu thelathini tuone km mtawezana
Screenshot_20210507-124116_Calculator.jpg
 
Tupe value ya kampuni zenu
Tuki break kw haraka haraka kila kampuni ina worth $3m kibongo bongo hzo ni bilioni kadhaa..
Sasa na wewe break hivi hvi kati yale makampuni yenu thelathini tuone km mtawezanaView attachment 1778035
Wee kijana acha kuongea sana, , kama nyie ni matajiri mbona huko kwenu hakuna dollar billionaires na TZ wapo na pia dollar millionaires wako wengi TZ kuliko KE??
 
Wee kijana acha kuongea sana, , kama nyie ni matajiri mbona huko kwenu hakuna dollar billionaires na TZ wapo na pia dollar millionaires wako wengi TZ kuliko KE??
Wekezeni basi tuwaone
Alafu swali langu mbona umelikwepa mrembo
 
Unachekesha sana, hujui tu. Double stack ya nini kwenye section inabeba treni ya abiria pekee! Reli ya kutoka bandarini ambayo itabeba hizo double stack containers inajiunga kule mwanzoni mwa viaduct.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hyo reli iko wapi kufikia hivi sasa, au nayo mtakenga mwakani
Alafu hzo reli zenu za abiria zitakua zinaelekea wapi yani makaazi yake, manake sijaona mtuonyeshe km zitapoa wapi
 
Wekezeni basi tuwaone
Alafu swali langu mbona umelikwepa mrembo
Hahaha, we mrembo kweli unafurahisha, kwa kifupi huko kwenu hakuna watu wenye pesa aa individuals zaidi ya wananzengo wengi kuchangisha mtaji... this ironic kw nchi yenye ku jibrand as the most capitalist in the region... Poleni sana, kipigo kinakuja taratibu... kwa vijana tayari akina Ali Kiba, Diamond na Wema Sepetu wameshamaliza kipigo, Imebaki kwa wazee wawili watatu basi tu...
 
Inawezekana anao bt hilo gari hajanunua kwa pesa yake and thus why kwa mdomo wake mwenyewe kasema kwa niaba ya serikali leo tunampatia benzi la chini ambalo litampa raha kwenye safari zake sasa km ww unaona hio ni kauli ya kulinunua binafsi au benzi alilopatiwa ni ka saloon tu then its okay...Tunatofautia uelewa and i respect that.

Kweli mzee ili swala la kumnunulia raisi gari halijakaa sawa ila tumpe maza mda kidogo
 
Hahaha, we mrembo kweli unafurahisha, kwa kifupi huko kwenu hakuna watu wenye pesa aa individuals zaidi ya wananzengo wengi kuchangisha mtaji... this ironic kw nchi yenye ku jibrand as the most capitalist in the region... Poleni sana, kipigo kinakuja taratibu... kwa vijana tayari akina Ali Kiba, Diamond na Wema Sepetu wameshamaliza kipigo, Imebaki kwa wazee wawili watatu basi tu...
Mbona mzee baba hueleweki, yani naona nkm unajiropokea tu
 
Inawezekana anao bt hilo gari hajanunua kwa pesa yake and thus why kwa mdomo wake mwenyewe kasema kwa niaba ya serikali leo tunampatia benzi la chini ambalo litampa raha kwenye safari zake sasa km ww unaona hio ni kauli ya kulinunua binafsi au benzi alilopatiwa ni ka saloon tu then its okay...Tunatofautia uelewa and i respect that.
Mzee nakubaliana nawe.....sema ndo hivyo we are not equally think the same but it's enough to have one goal and ideology...
 
Jamaa nimemwelewa....misuse of puplic funds....mzee amepungukiwa nini hapo alipo?....hatuwezo kuishi maisha ya kuigiza...bado hatujafika....watu wetu ni maskini sana....gvnt must allocate public resource wisely
Hata lile swala la kuwajengea marais wastaafu nyumbaa halijakaa sawa kabisa hapa jpm kidogo naye aliyumba
 
Back
Top Bottom