The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Hapana sio mpuuzi ni mzalendo aliye change from nowhere.Huyo mjomba anazumngumzia vitu asivyovijua ni mpuuzi huyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana sio mpuuzi ni mzalendo aliye change from nowhere.Huyo mjomba anazumngumzia vitu asivyovijua ni mpuuzi huyo
Unadhani mimi ni mtoto wa Darasa la nne? Kwamba Sijui world history? 😂😂We unaonekana hujui kitu wewe, shame on you.. soma historia ya dunia utajua nini namaanisha nikisema way back tulikua na mifumo yetu ya kiutawala kabla ya wakoloni, tz for example zamani tulitawaliwa na machifu mf, mkwawa, chifu mangungo wa msovero, chifu mangisina n.k aina yao ya utawala haikuzingatia mifumo ya kidemocrasia, baada ya wakoloni kuja mf germany wao wakatutawala kwa aina yao kabla british hajapewa atusimamie maamuzi ya (versailles peace treaty) lakini baadae US alivyopata status ya world super power 1945 ndio aka introduce hii democracy tuliyonayo sasahiv, na wakati tunapata uhuru sisi huku Africa wakaleta mfumo wa utawala indirect ambao ni Neo colonialism, implementation zake sasa tulishurutishwa kupitia program za structural adjustment program by IMF and WB .. je masharti yalikua yapi.?
1 tuwe na democracy
2 biashara huru 3 privatization n.k . Kwahyo we mjomba before hujaja kueleza huo upuuzi wako unatakiwa ujue kwanza historia ya dunia
The best 007 nilikuuliza swali ila mpaka sasa hujanijibu. You can criticize America all you want, but I want to know why you think that Democracy is bad for economic growth and development in Tanzania.Democracy gn Amerika wanayo? Ya kuvamia nchi na kuchukua rasilimali zake ndo democracy? Walker255
Sent using Jamii Forums mobile app
Msipokuwa na maelezo huwa mnaishia kutukana watu.Huyo mjomba anazumngumzia vitu asivyovijua ni mpuuzi huyo
Mm nmekuuliza je Marekani ina democracy? Na km wasema ndiyo je nn tafsiri ya democracy, ni kuvamia nchi na kuchukua rasilimali zake km ambavyo USA inafanya? Mana umesema USA kuna democracy, nijibu hilo ili nilale mana nna usingizi hapa.The best 007 nilikuuliza swali ila mpaka sasa hujanijibu. You can criticize America all you want, but I want to know why you think that Democracy is bad for economic growth and development.
nimetoka udsm kuona wanavyoweka mitungi ya gas kwenye gari za kawaida kama unataka.. gharama ya chini 1.5m TSH.. karibuni wenye magar
haya ni baadhi ya wanaowekewa mtungi wa gas
afu wanasema ukitumia gas unakuwa unatumia nusu gharama (fuel price) kama ungekuwa unatumia petrol/diesel
View attachment 1770256View attachment 1770257View attachment 1770261
hapa no mbele (unapojazia gas)
View attachment 1770258
huku ni nyuma (mteja mpya: gari min prado-milango tatu)
View attachment 1770259View attachment 1770260
Kwa nini usiwe specific. USA iliiba rasilimali za wapi? Usifananishe serikali za watu na firms!Mm nmekuuliza je Marekani ina democracy? Na km wasema ndiyo je nn tafsiri ya democracy, ni kuvamia nchi na kuchukua rasilimali zake km ambavyo USA inafanya? Mana umesema USA kuna democracy, nijibu hilo ili nilale mana nna usingizi hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa kuja, kwamba hujui kuwa USA inaiba rasilimali za nchi zingine? Vp kuhusu mafuta ya kule Iraq, vp kuhusu Libya, hujui au?Kwa nini usiwe specific. USA iliiba rasilimali za wapi? Usifananishe serikali za watu na firms!
Ok, km USA ina democracy kwnn mpk leo hakuna Rais mwanamke ilihali Hirary kila mtu anajua kuwa alishinda?Kwa nini usiwe specific. USA iliiba rasilimali za wapi? Usifananishe serikali za watu na firms!
Hebu eleza specific pe-colonial Africa walitumia democracy upande upi .? Nikisema hujui kitu unakataa . Ona sasa unashindwa hata kujua hoja yako ni ipi, mwanzo ulikua unaitetea democracy sasahiv eti unashauri tufuate mfumo mmoja wa utawala 😂😂 Yani wewe, hatuwez tumia njia (moja kwa moja) za kusolve matatizo yetu kwa kuiga kwa jirani na ndiomaana mwalimu aliamua tuwe NAM .. democracy kidogo & communism kidogo na tamaduni zetu kidogo/ustaarabu wetu.. na ni njia sahihi tu kwa taifa changa kana sisi,Unadhani mimi ni mtoto wa Darasa la nne? Kwamba Sijui world history? 😂😂
Pre-colonial democracies did exist in Africa. I just didn’t specify where.
Halafu, niambie ni wapi Mifumo yetu ya Kiutawala Leo ina-reference techniques za Mangisina na chief Mkwawa. I really wish we had them but even Our constitution has traces of British laws for gods sake!
Wewe ndio ukasome....
Na unadhani sifahamu structural adjustment program?
Government run institutions are almost always inefficient! And I’m not saying kwamba we should strictly run our economy based on one ideology. I’m saying, we need to examine which ideology will suit our best interests and improve our economy! Maybe we could use different ideologies at the same time.
Ok, km USA ina democracy kwnn mpk leo hakuna Rais mwanamke ilihali Hirary kila mtu anajua kuwa alishinda?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna democracy kwenye njaa juwa hivyo mkuu.The best 007 nilikuuliza swali ila mpaka sasa hujanijibu. You can criticize America all you want, but I want to know why you think that Democracy is bad for economic growth and development in Tanzania.
Naelewa mkuu ila huyu Walker255 ame deviate so ni jukumu letu kumrudisha kwenye mstari.oi wadau huu mjadala jadilini sehem nyingine sio humu [emoji1488] [emoji1488][emoji1488]
Kongo, Songhay Kingdom in Mali had forms of democracy.Hebu eleza specific pe-colonial Africa walitumia democracy upande upi .? Nikisema hujui kitu unakataa . Ona sasa unashindwa hata kujua hoja yako ni ipi, mwanzo ulikua unaitetea democracy sasahiv eti unashauri tufuate mfumo mmoja wa utawala 😂😂 Yani wewe, hatuwez tumia njia (moja kwa moja) za kusolve matatizo yetu kwa kuiga kwa jirani na ndiomaana mwalimu aliamua tuwe NAM .. democracy kidogo & communism kidogo na tamaduni zetu kidogo/ustaarabu wetu.. na ni njia sahihi tu kwa taifa changa kana sisi,
Mkuu..Mim tu hiyo nimechomeka nikijua utafikiri nje ya box..Okay umekijosoa mwenyewe kwenye maandiko yako. “Aina ya demokrasia wanayoimplement Africa hubakwa na wenyewe”
Tatizo ni watu. Sio mfumo. Mbona kuna successful democracies Africa? Look at South Africa, Botswana, Ghana...they have all experienced rapid economic growth AND development! Wao wamefanya nini?
Na angalia nchi kama Zimbabwe. Wakati wa Mugabe hakukuwa na Democracy. Zimbabwe matatizo ya kiuchumi kibao!
Serikali ya Marekani haiibi au kununua mafuta kutoka mashariki ya Kati! Marekani has its own oil.Asante kwa kuja, kwamba hujui kuwa USA inaiba rasilimali za nchi zingine? Vp kuhusu mafuta ya kule Iraq, vp kuhusu Libya, hujui au?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli. Demokrasia ya leo sio kama ya zamani lakini principle ya nguvu ya umma bado ni ile ile. Kitu ninachoshangaa ni pale mnapodhani kuwa demokrasia ni mbaya kwa maendeleo ya kiuchumi. Nipeni arguments Zenu. Unajua hapa tunafundishana? Mimi sio lecturer!
Wewe Walker ni mzalendo na siwezi kukubali kuona unabadilika kirahisi hivi kisa mtu flani amekukwaza, najua unaelewa nachomaanisha, nakubali kwamba u know many things because u r an ellite, ss unakokwenda siko mkuu, mm huwa sipendi kumklash mzalendo mwenzangu hata akikosea najua nifanye nini ili tuende sawa lkn mkuu u r not going in a right track, I really appreciate you that's why I'm busy begging you to remember where r we from and where r we going, so don't forget that.Kwa nini usiwe specific. USA iliiba rasilimali za wapi? Usifananishe serikali za watu na firms!
Unajua kuna maswali unaniuliza ninaweza nikeshe nikikujibu?Ok, km USA ina democracy kwnn mpk leo hakuna Rais mwanamke ilihali Hirary kila mtu anajua kuwa alishinda?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu waonekana wamuelewa sana jomba Walker255