Those silly thoughts of yours ndizo ambazo zinafanya msilipe madeni mpaka Mabenki makubwa yanaogopa kuwakopesha,sisi tutalipia toll mpaka Deni iishe Ndio maana Tunakopeshangwa Kama maji,ju Tunalipa Madeni
Kama hujui ni kwamba international lenders wanapigana vikumbo kutukopesha. Wapo tunaowatolea nje hata kwa 3%! Mnaweza fanya hivyo nyinyi?
Angalia wanavyopigana vikumbo ku-finance phase za BRT zilizobaki. Na bado tunawapa vigezo na masharti, wakizingua tunawapotezea.
Au hukuwasikia WB walichosema walipotembelea SGR? Wanaangalia namna ya kutukopesha kwenye SGR. Na sie hatuna habari. Tunaenda tu mdogo mdogo.
Mikopo ghali kama hiyo ya kwenu ni bogus pekee anaweza kuikubali. Riba na inflated costs za miradi husika ni kubwa kuliko economic benefits zote zinazotokana na hiyo miradi ikitekelezwa.
For example:
***Hiyo SGR yenu imeua biashara ya lorry Mombasa-Nairobi, well hilo lilitarajiwa.
***Yet mauzo ya sgr business yanaishia mikononi mwa wachina.
***Still mauzo hayatoshi hivyo huenda wachina wakaichukua Mombasa port ambayo ilikuwa collateral.
So mmepigwa kila upande. Sasa hapo si ni bora mngeyaacha malori yaendelee na kazi mpaka pale mtakapopata fair deal kama sisi! Au mnadhani sisi hatupewi hizo ofa za mikopo.
Kuna lenders wengine mataaahira walitaka mpaka mt. Kilimanjaro kama collateral. Waziri Mpango aliwatoa baru, sembuse Magu.
Nyie mnaogelea kwenye laana ya usaliti na ubeberu. Nyerere alitaka nyinyi ndiyo mtoe rais wa EA federation lakini bado mka-snitch. Sasa kazi kwenu maana inaonesha aliyewaroga alishakufa.