Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hajui anachokizungumza! Na yawezekana hata China hajawahi kufika. Nikishafahamu tu mahali alipokuwa anakaa nitajua kama ni muongo au anasema kweli.
Muongo kivipi mzee atanikikumbia haitosaidia kwa sababu we akili yako ipo fixed na kingine jinsi utakavyomkuza mwanao sivyo kila mtu atakavyomkuza
 
SASA kama moja ya haki za democracy ni haki ya kuchagua au kuchaguliwa, marekani wao hawafanyi hivyo then hiyo ni democracy gani .? Yani kwamba nachaguliwa kiongozi namtu fulani ili aongoze maisha yangu hiyo si ni kinyume hata na haki za kibinaadamu.?
Subiri kidogo nitakupa jibu la swali lako. Nataka nikueleweshe...sio kukupa jibu la mkato Kama sentensi zako.
 
Muongo kivipi mzee atanikikumbia haitosaidia kwa sababu we akili yako ipo fixed na kingine jinsi utakavyomkuza mwanao sivyo kila mtu atakavyomkuza
You’re wrong. I really want to believe you. Usiponiambia ulikuwa unaishi wapi ukiwa China sasa nitaamini Vipi unachokiongea? Mbona mimi nimeshasema Marekani nilikuwa nakaa wapi?
 
Kuna picha mtandaoni za makinisa yakibomolewa China. Kuna proof ya satellite images na testimonials za watu ambao walikuwa wanefungwa kwenye Uyghur Muslims detention camps! I am an educated person. Siamini kitu hadi niwe na uhakika nacho. Kama hutaki kuamini baki na ignorance yako. Kazi yangu ya kuondoa ujinga nimeshafanya. The rest is up to you.

Nni maana ya demokrasia kwa mtazamo wako
 
OK mm sielewi nataka unieelezee wewe nn maana ya demokrasia kulingana na wewe
Huyo jamaa anasema demokrasia haiwi kwa mtazamo wa mtu. Yaani kwamba ni lazima kuchukua tu maana fulani inayolazimishwa! Sasa hapo violation ya hiyo democracy inaanzia hapo hapo kwenye tafsiri yake! Kujadili kuhusu haya mambo na mtu brainwashed ni kazi sana. Atakupotezea tu muda wako. Nilipomsoma tu kwenye ile mada yake pendwa ya mimba mashuleni nikampotezea. Mtu akishamezeshwa kitu ngumu sana kumwelewesha.
 
Kumbe ninaongea na watu wasiojua kitu wanachokizungumza! Ha! Demokrasia haiishi kwa mtazamo wa mtu!
Na hiyo democracy watu walikaa chini wakai define lakini hata sheria zinaenda zinabadilika na mitazamo ya watu na mabadiliko ya kimaisha ndio inafanya sheria zibadilike na hivyo kuifanya democracy inaonekana aiko well defined kwa wakati unaoendelea..

Ila me nimekuelewa unachomaanisha ila watu wanaongelea kimtizamo wa sasa lakini authorized rules za nchi
 
SASA kama moja ya haki za democracy ni haki ya kuchagua au kuchaguliwa, marekani wao hawafanyi hivyo then hiyo ni democracy gani .? Yani kwamba nachaguliwa kiongozi namtu fulani ili aongoze maisha yangu hiyo si ni kinyume hata na haki za kibinaadamu.?
“Haki ya kuchagua au kuchaguliwa” sio feauture ya demokrasia! Unaweza kuwa na Haki ya kwenda kupiga kura lakini unachagua kiongozi wa Chama kimoja. Au mfumo wa uchaguzi uko rigged! Au hata mfumo wa uchaguzi sio fair. Kwa hivyo, nitarekebisha sentensi yako...moja ya aspect ya democracy ni haki ya kuchagua kiongozi kwa free and fair elections.

Sasa tukija kwenye suala la Marekani...Mnasema kuwa Marekani watu “wanachaguliwa” kiongozi na watu wengine Yaani electoral college, sio? Na kwamba hii system ya upigaji Kura sio ya kidemokrasia?

Nitaendelea ku-edit...kutafsiri mambo kwa kiswahili si rahisi 😓
 
Na hiyo democracy watu walikaa chini wakai define lakini hata sheria zinaenda zinabadilika na mitazamo ya watu na mabadiliko ya kimaisha ndio inafanya sheria zibadilike na hivyo kuifanya democracy inaonekana aiko well defined kwa wakati unaoendelea..

Ila me nimekuelewa unachomaanisha ila watu wanaongelea kimtizamo wa sasa lakini authorized rules za nchi
Yes. Nimejibu swali la jamaa hivyo kwasababu nimedhani kuwa anafikiri demokrasia inakuwa defined jinsi mtu yoyote anavyotaka..Yaani Kwa mtazamo wake.
 
OK mm sielewi nataka unieelezee wewe nn maana ya demokrasia kulingana na wewe
Demokrasia kama demokrasia ( sio kulingana na mimi) ni mfumo ambapo nguvu za kuendesha nchi hutekelezwa na watu na kupitia njia halali za ushiriki katika maamuzi ya kisiasa.
 
Demokrasia kama demokrasia ( sio kulingana na mimi) ni mfumo ambapo nguvu za kuendesha nchi hutekelezwa na watu na kupitia njia halali za ushiriki katika maamuzi ya kisiasa.
Demokrasia ni nini. Tuanzie hapo. Maana unaonekana unajua demokrasia, nami nataka elimu toka kwako.
 
Nikuulize swali dogo tu, unajua democracy imefika vipi huku Africa.? yani ilianzaje.? Au ilikuaje mpaka tukawa na democracy.?
Friend, democracy is as African as it is American/ European or whatever. Post-colonial democracy may have been introduced by other powers, but that does not mean that democratic processes were never practiced in Africa before we were colonized!

The thing about Africans like you who think that you’re “woke” is you think that Westerners are always introducing “new things” on the continent. Things that have never existed here.

I don’t blame you because as Africans, we have lost so much of our original identity that today we think that some things were never ours/ practiced by us.
 
Friend, democracy is just as African as it is American/ European or whatever. Post-colonial democracy may have been introduced by other powers, but that does not mean that democratic processes were never practiced in Africa before we were colonized!

The thing about Africans like you who think that you’re “woke” is you think that Westerners are introducing “new things” on the continent. Things that have never existed here.

I don’t blame you because as Africans, we have lost so much of our original identity that today we think that it was never ours.
Demokrasia ni nini. Tuanzie hapo. Maana unaonekana unajua demokrasia, nami nataka elimu toka kwako.

NB: Niandikie kwa lugha Swahili nami nataka kujua.
 
Kama hujui ni kwamba international lenders wanapigana vikumbo kutukopesha. Wapo tunaowatolea nje hata kwa 3%! Mnaweza fanya hivyo nyinyi?

Angalia wanavyopigana vikumbo ku-finance phase za BRT zilizobaki. Na bado tunawapa vigezo na masharti, wakizingua tunawapotezea.

Au hukuwasikia WB walichosema walipotembelea SGR? Wanaangalia namna ya kutukopesha kwenye SGR. Na sie hatuna habari. Tunaenda tu mdogo mdogo.

Mikopo ghali kama hiyo ya kwenu ni bogus pekee anaweza kuikubali. Riba na inflated costs za miradi husika ni kubwa kuliko economic benefits zote zinazotokana na hiyo miradi ikitekelezwa.

For example:

***Hiyo SGR yenu imeua biashara ya lorry Mombasa-Nairobi, well hilo lilitarajiwa.

***Yet mauzo ya sgr business yanaishia mikononi mwa wachina.

***Still mauzo hayatoshi hivyo huenda wachina wakaichukua Mombasa port ambayo ilikuwa collateral.

So mmepigwa kila upande. Sasa hapo si ni bora mngeyaacha malori yaendelee na kazi mpaka pale mtakapopata fair deal kama sisi! Au mnadhani sisi hatupewi hizo ofa za mikopo.

Kuna lenders wengine mataaahira walitaka mpaka mt. Kilimanjaro kama collateral. Waziri Mpango aliwatoa baru, sembuse Magu.

Nyie mnaogelea kwenye laana ya usaliti na ubeberu. Nyerere alitaka nyinyi ndiyo mtoe rais wa EA federation lakini bado mka-snitch. Sasa kazi kwenu maana inaonesha aliyewaroga alishakufa.
Nyinyi ndo mumerogwa Nani Kakwambia ATI lorry zimeishiwa na Pesa,wanapata pesa Daily Daily bana na sijaskia wakiteta,kitambo walikuwa wakistuka ATI watamaliziwa
 
Back
Top Bottom