Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ila wa kunyoshewa vidole hapo ni muafrika
Hapo bado hatujaja kwenye mauaji ya raia wasio na hatia yanayofanywa na police, kuvamia nchi za watu kijeshi na kuua raia na kupora rasilimali, Marekani ni thug Mafian Republic

Wanayo fake democracy Lakini hawawezi hata kupretend democratic
 
Do you people understand what we’re talking about? Au mmeshindwa kujitetea sasa mnaanza ku-criticize Marekani kwa lolote mnalojua? Tuanongelea kuhusu DEMOCRACY!
 
Bro, hizi kitu zinaumiza sana kwa wazalendo. Kuna wengine hudhani kuwa hizi kitu zinatupatia kiburi cha kuwagaragaza wakenya hapa zitaendelea tu kuchipua hata kama mafisadi yataanza kushamiri tena kwenye serikali na mamlaka zake.

Ukweli lazima usemwe na kelele lazima zipigwe ili angalau kuwapunguzia kasi hawa majangili. Imagine kasi ya kuondoa wazalendo aliyoanza nayo huyo bi mdashi wao. Ingekuwaje bila watu kupiga kelele! Ingekuwaje bila viongozi wa dini kuibuka na kuweka maandishi ukutani!

Je leo TPDC si ingekuwa mikononi mwa majangili bila hizi kelele! Hao akina Mulamula ni brainwashed so called diplomats. Sishangai sasa hivi balozi wa Marekani anashinda kwenye ofisi za wizara zetu kuahidi maendeleo.

Let's not be fooled! Hakuna wajomba au shangazi wa kutuletea maendeleo. Jana huyo mama alisema CCM ina wenyewe na kweli tunawaona wakirejea kwa kasi. Wazalendo wa ukweli wanapukutishwa kwa kutumia tuhuma za mitandaoni ambazo kimsingi hutangulizwa tu ili kuhalalisha hayo mabadiliko.

Narudia. Hii battle na wakenya lazima iende sambamba na sisi kutambua yale yanayotufanya kuwa superiors kwao. Tukikaa kimya, soon tutaanza kuona parachichi zetu zikianza kwenda tena Kenya kuwekwa chapa za "made in Nyang'auLand".

Kwa maelezo niliyo nayo ya haraka ni kuwa, mama alimbadilisha jamaa wa kitengo cha Madawa ikiwa ni muongozo wa Kikwete and the gang.

Tarehe 22, huko India wakitokea JNIA na Ethiopian Airways. Tayari kazi imeanza kwa kasi sana.

Hakuna democracy duniani

Democracy is a fake laboratory product.
Ni nani alikufundisha hivyo? Maana sidhani kama kuna curriculum ya Elimu ya Tanzania inayofundisha wananchi ushenzi kama huu. So you don’t think kwamba nchi inapaswa kuwa na demokrasia? Yaani nchi zinatakiwa kuwa na authoritarian rule?
 
Ata France imekopa Mara 1000 yenu na hawajakufa.Na America Mara Millioni yenu. Sisi tunakopa na kufanya Mega projects Mingi sana Nchi nzima Yani ata siwezi amini
Hao France wakikopa wanafanyia vitu vya maana na mikopo yao inazingatia value for money siyo kama nyie na mikopo yenu ya kidwanzi na wachina.
 
Magufuli alikua notorious kwenye negotiating and bargaining, alikua na akili kubwa kupindukia kwenye issues za miradi ya ujenzi

Cha kushangaza naona Egypt wanaliweka sana kama ni msaada wakati ni takwa la mkataba.
Takwa la mkataba? Umeanza majungu! Makubaliano yalikuwa kama fedha za gharama ya ujenzi wa JNHPP zinalipwa on time then kutakuwa na some sort discount/commission on total cost of JNHPP cost! Sasa kama hizo gharama zimeelekrzwa Kwenye CSR sioni tatizo! Ila nina uhakika Dodoma stadium haikuwapo kama matumizi ya discount ya ujenzi kipindi mkataba wa JNHPP unasainiwa! So wacha majungu haya ni Makubaliano mengine kama yale ya ElSewedy kujenga kiwanda cha vifaa vya umeme!
 
Wacha upuuzi na wewe bhn Kenya madini mtoe wapi, mngekuwa na madini km sisi unadhani viongozi wenu saizi wangekuwa wanarandaranda hapo Kenya? Saizi wangekuwa wanabadilisha ndege tu ku sign deals za 10% [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya Ndio Sasa tuna take minerals seriously hatukuwa tumeona maana ya minerals ,Na Agriculture pekee kwetu Ni Kama Madini inaleta pesa mingi,sisi tunakuzanga Cash crops ila siku hizi pia after TZ ituchokoze watu wanalima Food crops kwa wingi,na Inazidi kuongezeka.Even the Much dry places zinatayarishwa kufanywa Irrigation ya maji Kama Egypt,Na Ndio maana Dams zinachimbwa kuchimbwa everywhere.All in All sisi tunathamini Cash crops Kama Minerals na siati hatuna minerals
 
Kwa maelezo niliyo nayo ya haraka ni kuwa, mama alimbadilisha jamaa wa kitengo cha Madawa ikiwa ni muongozo wa Kikwete and the gang.

Tarehe 22, huko India wakitokea JNIA na Ethiopian Airways. Tayari kazi imeanza kwa kasi sana.

Alivyosema tu hakuna pesa mitaani, watu hawana pesa mifukoni nilisikitika sana

Sababu kihalali wanaotakiwa waseme hawana pesa ni wote wanaotegemea shughuli zilizoathiriwa na covid kama utalii and stuff

Ila alimaanisha hakuna pesa mitaani kama kipindi cha kikwete na pesa zilijaa mitaani kutoka kwenye drugs, ujangili, wizi bandarini, rushwa, ufisadi and all sorts of black markets

Huwezi kuniambia unafanya shughuli halali ukose pesa, kipindi kile pesa chafu zilijaa kwenye mzunguko na kutokana zilipatikana holela na utokaji wake ni holela vile vile ndio maana hata muuza ndala aliweza kuwa a millionaire in no time.

Tumepatikana

🕯️💔RIP JPM💔🕯️
 
Naelewa kuhusu izo kashfa zote ni propaganda tuu za wazungu kwasababu mm nmekaa China nilikua naenda kanisani jumapili na waislamu walikua wsnaenda misikitini kila ijumaa kwaiyo mpaka nasema hivyo sijaropokwa tuu
Ha ha haaa. Umeua mkuu. The truth just ahead. Kuna watu hudhani kuwa ubeberu kwa kuwa unaambatana na promo nyingi ndiyo mfumo halali wa maisha. Kwamba ukifikiri vingine wewe ni mshamba!
 
Magufuli alikua notorious kwenye negotiating and bargaining, alikua na akili kubwa kupindukia kwenye issues za miradi ya ujenzi

Cha kushangaza naona Egypt wanaliweka sana kama ni msaada wakati ni takwa la mkataba.
Acha walishane matango pori kule kwao. Si unajua wanasiasa tena. Ila wakija huku ni bakora kama kawa. Ni kama wachina wanavyoichukulia Tazara kama ya kwao vile ila mzingo unabelong to the land of Mwalimu. [emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
 
Ha ha haaa. Umeua mkuu. The truth just ahead. Kuna watu hudhani kuwa ubeberu kwa kuwa unaambatana na promo nyingi ndiyo mfumo halali wa maisha. Kwamba ukifikiri vingine wewe ni mshamba!
Kwa hiyo ni uongo kuwa China haibomoi makanisa na kubrainwash Uyghur muslims?

Nimemuuliza mwenzako China alikuwa anaishi wapi hadi sasa hivi hajanipa jibu. “Ameua mkuu”
 
Takwa la mkataba? Umeanza majungu! Makubaliano yalikuwa kama fedha za gharama ya ujenzi wa JNHPP zinalipwa on time then kutakuwa na some sort discount/commission on total cost of JNHPP cost! Sasa kama hizo gharama zimeelekrzwa Kwenye CSR sioni tatizo! Ila nina uhakika Dodoma stadium haikuwapo kama matumizi ya discount ya ujenzi kipindi mkataba wa JNHPP unasainiwa! So wacha majungu haya ni Makubaliano mengine kama yale ya ElSewedy kujenga kiwanda cha vifaa vya umeme!
Hizo pesa zingerudishwa kupitia miradi yenye thamani husika ndio maana Magufuli alichagua miradi miwili ya barabara na daraja kuelekea Mtwara inayopita eneo la mradi kabisa na mradi wa sports centre Dom

Jumla ya miradi hii ina thamani ya hiyo pesa ya 'commission' ambayo ipo kwenye mkataba

Nasema ni takwa la mkataba sababu kama tusingeweza kulipa kwa wakati certificates kama zilivyokua zikitufikia tusingeweza kuwadai Elswedy hizi stahiki sababu tungekua unqualified according to the agreement!
 
Hvi kwa wenzetu madaraja kama haya yapo kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Usinichekeshe mkuu[emoji23][emoji23]

Kenya wakijenga daraja kama hilo la 510m la 67bn tarajia yafuatayo;

1. Gharama itapaa mara 10
2. Mkopo utakuwa na riba kubwa
3. Daraja litamilikiwa na mchina under BOT
4. Daraja litaitwa "... International bridge" kuwafool nyang'au.
5. Watavuka hapo juu kwa fee ya kufa mtu kwa 30 yrs.
 
Back
Top Bottom