Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jamaa wameshindwa kuleta screenshits za vifurushi kutoka kw simu zao[emoji23][emoji23]
Lkn za offer wanaleta
Hii hapa ya halotel nmejiunga mda si mrefu nataka kuangalia mechi ya Man u vs Roma, angalia hapo mwenyewe elfu 1 gb 1 kwa wiki [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20210429-220330.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vp kuhusu dollar billionare btn tanzania and kenya ??? [emoji3][emoji3][emoji3] yani nchi nzima billionares wamejirundika nairobi wakat tanzania kuna billionares wengi kuliko kenya na wametapakaa nchi zima
kenya haina billionares [emoji1787][emoji1787]
 
Kila idara wakigusa ni yamoto, yn Wakenya walikuwa hawatujui vzr [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nadhani miaka michache kutoka hapa itakuwa ni matusi kushindana na hivi vinchi vya EA [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
😅😅😅 Uzuri huwa vita wanavianza wenyewe

Kama saivi pumzi zishawakata wakati stadiums za Tanzania bado sizioni jukwaani 😅😅
 
Wakuu, kuna mahali nimeona taarifa kuwa waziri wa maliasili amerejesha kitaulu cha uwindaji kwa kampuni ya Green Miles Safari Ltd!

Kama hiyo ni kweli basi nchi hii inapatwa kwa kasi kubwa sana na wale tunaoimbea tukazane maana huenda tunarudi tulikokuwa within a very short period.
daah hilo jipu mkuu
 
Back
Top Bottom