Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,945
Umeona eh! 🤣 🤣Huu uwanja mtaurudia mara ngapi?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Umeona eh! 🤣 🤣Huu uwanja mtaurudia mara ngapi?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hiyo siuji tangu niwe na line ya saf miaka ka 20 na.... 😂 😂 😂 😂
Muongezee
Vipi, wataka tukuazime huu uwanja nini? 😂 😂 😂Unataka unijibu hapaView attachment 1768184
Yani nimegundua wakenya bado ni primitive. 🤣 🤣🤣😂😂😂😂 Huu ni uwanja au zizi?
Wajengewe stadiums wanapenda ball sana., Ile kichizi., fanatics kibao.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukweli mchungu
Nacheka vile nchi imejinyea sasa hvi🤣🤣Wataka akukopeshe nini? 😂 😂 😂
Ndio mama Ngina kakuambia hivyo ni viwanja 🤣🤣 tembea uone achana na flying toiletsVipi, wataka tukuazime huu uwanja nini? 😂 😂 😂
Tuna majukwaa ya spectators tu, watazamaji tuliwaachia nyie! 🤣 🤣 🤣Muongezee
90 percent ya viwanja vyao havina majukwaa ya watazamaji
View attachment 1768195View attachment 1768196View attachment 1768197
Hakuna mkopo hapo au kwa vile mumezoea mikopo🤣🤣🤣🤣Mchina anawaletea mkopo usijali! 🤣 🤣 🤣
Flying toilets muhimu coz tushazoea anga za juu, sasa kurudi chini inakua taabu aisee! 🤣 🤣 🤣 🤣Ndio mama Ngina kakuambia hivyo ni viwanja 🤣🤣 tembea uone achana na flying toilets
Nyie bado mnaishi maisha ya stone age. 🤣 🤣🤣Mnadanganywa na akina mama Ngina na Uhuru family na nyie mnacheka Cheka tu kama wapumbavu.Wajengewe stadiums wanapenda ball sana., Ile kichizi., fanatics kibao.
Ruringu stadium.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji81][emoji81]
Yaani mama aache "electric train", awajenge stadium ya kugaragaza? 😂Hakuna mkopo hapo au kwa vile mumezoea mikopo🤣🤣🤣🤣
Ndio maana Akothee anatembea na mbolea 🤣🤣🤣 kumbe hiyo ni culture yenu kutembea na ma.viFlying toilets muhimu coz tushazoea anga za juu, sasa kurudi chini inakua taabu aisee! 🤣 🤣 🤣 🤣
Kelele ni nyingi kwao sana ...eti ligi bora EA na hawana viwanja[emoji81][emoji81][emoji81]Wajengewe stadiums wanapenda ball sana., Ile kichizi., fanatics kibao.
Usituwekee mazizi hapa. Kama viwanja vimeisha lala Mzee. Hizo takataka mpatie mama Ngina.Ruringu stadium.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji81][emoji81]View attachment 1768199
Hata nyie si mna Mama hapo, unadhani kakaa kiboya boya tu ka wewe, lazma ziliwe hizo hela zenyu, tena sio tafadhali! 🤣 🤣 🤣Nyie bado mnaishi maisha ya stone age. 🤣 🤣🤣Mnadanganywa na akina mama Ngina na Uhuru family na nyie mnacheka Cheka tu kama wapumbavu.
Uhuru family wanawabebea akili zenyuHata nyie si mna Mama hapo, unadhani kakaa kiboya boya tu ka wewe, lazma ziliwe hizo hela zenyu, tena sio tafadhali! 🤣 🤣 🤣
Huyo Mama Ngina wamtaja taja, vipi wewe, unahitaji msaada wa dharura au uko njaa au ushafukuzwa kwenyu, mbona sipati picha? 😂 😂 😂 😂Usituwekee mazizi hapa. Kama viwanja vimeisha lala Mzee. Hizo takataka mpatie mama Ngina.